Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Wewe ndiyo kati ya wale mlioajiriwa kuinua image ya CCM iliyodorora -- na mnafikiri mtafanikiwa kwa kuiponda CDM. La hasha! CCM itaokolewa kwa kuwatimua mafisadi waliojazana ngazi zote ikianzia baraza lake la mawaziri.
Mfano, huyo head wenu Pinda hajiu hata kama kuna ubadhirifu katika serikali yake na wala hajui ripoti ya CAG imesema nini.
Then kuna Wizara ambazo Freeman alimua kujaza bila kuzingatia uwezo wao kama akina Regia Mtema (Kazi na ajira), Lucy Owenya (Wizara ya Viwanda na Biashara)
CCM- give us a break. Please GO - leave us in peace will you?
Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!
Of course huyu paa linalo teleza analeta propaganda. Lakini pia vile vile kuna ukweli katika mambo anayosema.
Ukiangalia kazi ya Shadow Cabinet, ni kutoa an indepth response and counter policy for every thing that the government ministers put forward in Parliament, and other forum be it policy, Acts, rhetoric and this has not been done. In fact one thing that mtelezo amepatia..
Hawa kina Regia sijui Owenya sijui Lema, hawana technical capacity yakuwawezesha kufanya hivi vitu. Na kama ni hivyo basi CDM iandae utaratibu wakuweza kupata consulting services indeveloping these policies to counter the weak CCM policies.. (Kwanza mawaziri wengi wa CCM hawajui chochote kuhusu policy wanazo develop lakini wengine wana taaluma ya juu pia..) kwahiyo CDM inabidi kwakweli wajijenge uwezo wao wakufanya utafiti waki sayansi katika masuala mbali mbali yakiuchumi, kisheria, kijamii ndio kweli watakuwa wanajenga uwezo wakuendesha serikali.
Msitake wananchi tuwape nchi 2015 wakati bado hamjaweza kuonyesha mtafanyaje kupunguza BOP for instance, au facilitating investor confidence, ama strengthening the regulatory regime in the telecoms sector or health sector.... Mambo ya ufisadi well and good lakini sasa tunataka in depth technical capacity building.
Ukweli ni kwamba u might get the votes of the vast emotion driven masses but unless you can demonstrate what you can really do to improve this country IN DETAIL... watu wenye akili timamu hawataweza kuwaamini in so far as your capacity to run an economy and a country is concerned.
Just because Mustapha Mkullo is a failure, does not mean that we should trust some other id!ot ambae yuko untested..just an example.
Napenda independent thinking ya SlidingRoof; hajalishi atapigwa vipi mawe lakini anaanika anachoona kinastahili kuangaliwa. Sasa watu wekeni unazi pembeni, chambueni hoja yake, anaweza kuwa na makosa sehemu kadhaa (kama ninavyoona) lakini ana hoja...!
Mkuu;
Nauliza tu: Hivi CV za Wabunge , mawaziri wa CCM zikiwekwa hadharani -- chini ya darubini kali si utakuta vitu vya ajabu kabisa!!! Nyingi ni za kughushi tuu iola tu bahati yao ni kwamba mamlaka husika zililzo chini ya serikali ya CCM haitaki kuchunguza. Hili limezungumzwa sana.
After all, wangekuwa na genuine credentials nchi hii isingefika ilipofika -- kama vile inaendeshwa na watoto wa darasa la 7!
Kweli Kabisa! Kesho - Jumamosi, Kamanda wetu Dr wa ukweli atamsaidia JK wenu kazi ambayo anatetemeka miguu kuifanya -- kutaja majina ya mafisadi waliomo serikalini na ktk CCM. Ajabu yenu CCM ni kwamba mnapoteza muda mwingi katika vikao vyenu vya juu kujadili mambo mnayojua ni nyeti lakini mnazunguka zunguka tu, hamtaji majina ya mafisadi -- ingawa mnakubali wapo kibao!
Dr Slaa atataja majina hayo katika mkutano wa hadhara huko Tabora na bila shaka ataiendeleza ile orodha ya Mwembe Yanga. Dr wetu ni jasiri kweli kweli kuliko Dr wenu wa kuchakachua!