Chadema Serengeti Mara yaimarika Rasmi Kuing'oa CCM 2014/2015.

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
834
Reaction score
140
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, Kinaendelea Kujiimarisha na Kufungua Matawi Mapya Ngazi za Vitongoji Wilayani humo. Oparation hii ya M4C ya Kuzungukia Kata zote za Jimbo la Serengeti, Inaongozwa na Mwenyekiti wa Chadema (W) Serengeti, Katibu wa Chadema (W) Serengeti, Katibu Mwenezi (W) Serengeti ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mugumu-Mjini "Mwl.Marwa Ryoba", Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi (W) Serengeti Mh. Manawa, Mwenyekiti BAVICHA (W) Serengeti Ndg. Sakumi na Makamanda Wengine wengi toka Jimbo hilo la Serengeti. Chadema Bado ni Baba lao! TUKIUNGANA PAMOJA BILA HUJUMA NA USALITI, 2015 TUTASHINDA. Imetolewa Na: KATIBU MWENEZI KATA YA NYANSURURA WILAYANI SERENGETI. Ndg. FRANCIS GARATWA MUHINGIRA. Ahsanteni!
 
Mungu awabariki ktk shughuri hiyo mkaitende kwa ukamilifu huku mkitambua ya kuwa kila mnapokusanyika wawili kwa umoja na uthabiti wa moyo malaika wa mungu huwa nanyi.
 
Pamoja sana, kuna mwana JF mwenzetu humu ndani yuko frontlinekufanya mambo Mugumu pale Machochwe.

Nafurahi kuona wataiteka mpaka Ikoma yoote kuanzia Morotonga mpaka Fort-Ikoma na Isenye yoote
 
CCM ijiandaa na vyama vidogo kuunda kambi ya upinzani
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, Kinaendelea Kujiimarisha na Kufungua Matawi Mapya Ngazi za Vitongoji Wilayani humo. Oparation hii ya M4C ya Kuzungukia Kata zote za Jimbo la Serengeti, Inaongozwa na Mwenyekiti wa Chadema (W) Serengeti, Katibu wa Chadema (W) Serengeti, Katibu Mwenezi (W) Serengeti ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mugumu-Mjini "Mwl.Marwa Ryoba", Mwenyekiti wa Chadema ni Msingi (W) Serengeti Mh. Manawa, Mwenyekiti BAVICHA (W) Serengeti Ndg. Sakumi na Makamanda Wengine wengi toka Jimbo hilo la Serengeti. Chadema Bado ni Baba lao! TUKIUNGANA PAMOJA BILA HUJUMA NA USALITI, 2015 TUTASHINDA. Imetolewa Na: KATIBU MWENEZI KATA YA NYANSURURA WILAYANI SERENGETI. Ndg. FRANCIS GARATWA MUHINGIRA. Ahsanteni!

Mbona kuna masalia anaitwa Nya... alisema kuwa CDM Serengeti imekufa baada ya yeye kutimuliwa.
 
Pamoja sana, kuna mwana JF mwenzetu humu ndani yuko frontlinekufanya mambo Mugumu pale Machochwe.

Nafurahi kuona wataiteka mpaka Ikoma yoote kuanzia Morotonga mpaka Fort-Ikoma na Isenye yoote

Umetaja Morotonga nikakumbuka Burunga, I miss that place.
 
Chadema Mara Wavuna Millioni 19 na Gari Moja Kwenye Harambee Musoma Mjini.
 
Pamoja sana MAKAMANDA,MUNGU YUPO UPANDE WETU!
 
Back
Top Bottom