CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

Ukipenda chongo utaliita/utaliona ni kengeza tu!
 
Naipenda sana CHADEMA.....kuliko hata demu wangu
 
Jamani Mimi npo na vjana takriban 27 hv katka kaz zangu nilifunga kaz Siku ya kujiandiksha nikenda nao kupata ktambulisho champiga kula mwanzo hawakuwa waelewa baada yaku wahutubia jins nchii inavyo endeshwa na ccm wamekuwa moto wakuotea mbali kuhususu cdm salami yetu ni peoples ........ndugu zangu tuliopo mjin tujtaid kuelimisha ndugu zetu waliopo vijijin maana huko ndiko majanga yalipo "Chadema kwa pamoja tuta shnda"
 
Mmmhhhhh, haya wabunge Wa chadema wanaakili nyingi kuliko Wa ccm, je hawa waliokiwa ccm wanaohamia chadema nao vipi?
 
Kwan lembeli kaifanyia nn kahama hasa ushetu anakotokea? Kaona atapigwa chini ccm kaamua atimukie chadema!!!!
 
....
....Copy Copy Sir !!!
 
 
 
Yaani huu uzi uligonga penyewe, Chadema ni chama watu wana mahaba nacho, hadi leo, ukisimamisha bendera tu sehemu au barabarani utaona watu wanajaa bila hata kuitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…