Kwani yale majengo ya maccm nd yatapiga kula???Hayo majengo ndio yatapiga kura
Wapiga kura wapo wengi sana cdm ndiyo maana mnawaogopa hata kuwaruhusu kufanya mikutano
Llpl
pplKwani yale majengo ya maccm nd yatapiga kula???
Wewe ndo nikuambie pole kwanza huko kwenye siasa wala sipo hapo najaribu kufanya takwim tuuNaona hujui unacho kiongea pole sana
Basi kama haupo pita zako wima wima maana hili ni jukwaa la siasa
unaongelea majengo wakati kila kukicha watu wanahama chamaWewe ndo nikuambie pole kwanza huko kwenye siasa wala sipo hapo najaribu kufanya takwim tuu
Ataepigia kura ccm akapimwe akiliHayo majengo ndio yatapiga kura
unaongelea majengo wakati kila kukicha watu wanahama chama
Ataepigia kura ccm akapimwe akili