CHADEMA sasa ijipange kweli

CHADEMA sasa ijipange kweli

Mkuu leo wasipo kulipa overtime utakuwa na kimavi,, Maana unahangaika sana na Chadema,. Vipi kichaka chenu ACT
 
Ushauri kwa viong
ozi wa chadema ni kuwa wasimshambulie Magufuli! Vinginevyo watapandikiza chuki kwa watanzania wengi wanaompenda na ni wafuasi wake binafsi wala siyo wa ccm!
 
Mkuu umeongea ukweli tupu........Kwa sasa haijulikani CDM inasimamia nini......mrengo wanaoufuata na Sera havijulikani.....kimekuwa chama cha matukio tu.....
Upinzani umefanya kazi nzuri mpaka hivi leo serikali ya ccm ipo macho masaa 24
 
Back
Top Bottom