Chadema rethink abt this

ralphjn

Senior Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
169
Reaction score
31
Kutokana na utaratibu wa siku hizi waliojiwekea CHADEMA wa kuchangia bungeni kwamba wanagawana dakika tanotano wachangiaji wawili mimi binafsi naona litazamwe upya. Wabuge wa CHADEMA wana mengi ya kuikosoa Serikali KIZIWI ya Magamba. Muda wa dakika tano tu hautoshi. Mbunge kama Mnyika, Zito, Lisu, Mbowe, Mdee, Msigwa, Lema na wengine kuchangia five minutes doesn't make sense.

Labda kama sielewi, kuna option ya mbunge wa CHADEMA kuomba aongee dakika 10 zote? Otherwise uamuzi huu uwe reviewed, if possible wajigawe wachachewachache kwa kila wizara ili tupate hoja zenye mashiko na michango yenye tija kutoka chama pendwa kwa Watanzania.

Otherwise tutaendelea kusikia pumba toka mwanzo hadi mwisho toka kwa Majangili CCM.
Nawasilisha.
 
Mi nadhani wabunge kama Sugu, Wenje, Nassari na Lema wawe wanatoa mchango wa maandishi tu ili wasiwapotezee kina Mnyika muda wa kuongea hoja zenye mashiko.
 
Mi nadhani wabunge kama Sugu, Wenje, Nassari na Lema wawe wanatoa mchango wa maandishi tu ili wasiwapotezee kina Mnyika muda wa kuongea hoja zenye mashiko.

Naunga mkono hoja.

Umemsahau na Mh. Msigwa.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
CHADEMA walishagundua kwamba theluthi mbili (2/3) ya wabunge wake ni vilaza kwahiyo hawawezi kuongea dakika zote kumi.

Kama hakuna tukio lolote lililotokea hapa nchini kwa wakati huo unategemea mbunge wa CHADEMA aongee kitu gani kwa dakika kumi? Ndiyo maana wakaamua kugawana dakika tano tano.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
mi nadhani wabunge kama sugu, wenje, nassari na lema wawe wanatoa mchango wa maandishi tu ili wasiwapotezee kina mnyika muda wa kuongea hoja zenye mashiko.

naunga mkono hoja.

Umemsahau na mh. Msigwa.

Sent from my hp elitebook 8460p using jamiiforums


adui muombee njaa..

If wishes were horses .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…