nadhani kuna haja ya CDM kujitazama upya katika hizi kanda zikizotajwa na wahusika, coz tunatak akiwe na sura ya kitaifa zaidi...but waliyoyafanya mpaka sasa mimi nayakubali sana ! they smart in everything !
kwa namana yoyote ile mwandishi alitaka aeleweke,cdm wakaze buti kufungua matawi nchi nzima,mikoa kama morogoro,dodoma,singida, na shinyanga bado ni ngome muhimu sana kwa ccm,that is war,fight it wisely.