CHADEMA pumzi imekata!

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,846
Reaction score
4,506
CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.

Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa makada wa CHADEMA. Ujasiri wa kweli umebaki kwa Mwenyekiti wao, ambaye ameamua kupigania haki ya kweli bila kuuza roho yake kwa shetani.

Hawa viongozi wa CHADEMA hawana tena ujasiri wa kupambana na dola kama alivyokuwa akifanya Tundu Lissu; ni waoga wa kuitisha maandamano na waoga wa kuitwa Central.

BACK TO DEFAULT SETTINGS.

 
hadi kuomba kuchangiwa pesa wamekata pumzi, dah
 
Wewe tlatla ulivyo mjinga unafikiri adui wa huu uongozi feki ni chadema🚮
hapana gentleman,
maadui wa Tanzania ni wale wote wanaokerwa na kazi nzuri sana ya maendeleo inayofanywa na serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi shupavu sana Dr.Samia Suluhu Hassani
 
Rudia maneno yako japo mara mbili iwapo unaamini ukisemacho!
 
Tlaatlaah unahangaika Sana.
 
Lkn wakisema mfanye uchaguzi huru na haki ili nyinyi mliokuwa hamjakata roho mshinde mnakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…