MKALIMOTTO
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 136
- 9
- Thread starter
-
- #21
Hili si suala la CHADEMA tu na vyama vingine vyote na wapenda maendeleo wote kilio chao ni kimoja. IGP Mahita siku moja kabla ya uchaguzi mkuu 2005 alisema CUF imeleta visu na majambia ya kuulia watanzani? Bado huamini kuwa polisi inatumika? Mrema mikutano na misafara yake mwaka 2015 ilipigwa mabomu kila mahali, lakini ya CCM ilikuwa shwari kabisa!.. Hali hii iliendelea hadi 2010, kwa macho yangu nimeona mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia Ruanda Nzovwe hadi Mwanjelwa kutawanya wafuasi wa CDM baada ya Dr. kufunga mkutano wake wa kampeni? Kwa Kikwete hali ikawa Shari! HUU NI UHUNI, na anayetetea ni MHUNI!
How old are you??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
We still, in the move, witnessed the party's struggle to weaken the power of the law through illegal demonstrations, workers strikes with oppositions political face, uttering ambiguos statements aiming at instigating insecirity etc.
Ha ha ha haaaaaaaa! I have noted a thing here that for the sake of reducing the number of contributers, bring the topic to discuss IN UNG'ENG'E altenatively called English. Hapo baaaaaaasi. Utaona watu meno yanavyogongana, macho yanavyokodolea screen ya pc muda mrefu. Sentensi na maneno zinavyoandikwa na kufutwa mara hamsini hamsini. Kaaaaaaazi kwelikweli!
Siamini kama wewe unaongea mambo haya ukiwa Tanzania? Hiyo "we... witnessed" mmeshuhudia wewe na nani? Ni wapi ambako CDM imefanya mikutano au maandamano bila kutoa taarifa polisi? Au na wewe unashabikia ujinga wowote unaouona? Ni tamko gani tata lililohatarisha usalama?
CDM haina mgogoro wowote na askari wa kawaida, TAKUKURU, na usalama wa taifa bali mifumo yake na wakubwa a taasisi hizo wanavyotumika kuua na kunyonga haki za wanyonge!
Don't you see 42 years is too old to be a Mugger dog?Is that the simplest-cramed question you can ask me? Ok 42! then?
Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?
My friend ukienda shule za mjini Dar kama vile Loyola na kusema, "Nimemwaga UNG'ENG'E!" watakachoelewa ni kwamba wewe ume"pass" wind au umepumulia chini!.
The way Chadema behaves and conducts its political business, calls for an attention of the kind of regime the party will adopt. Its without doubt that we have, since the 2010 general election, witnessed a series of coercion btn chadema and the so called vyombo vya dola (state apparati).
It has been to the extend that cdm is not in trust of them. It blamed, for instance, the TISS accusing it of what it refered as kuchakachua matokeo ya uchaguzi.
To chadema, the police force is nothing than an instrument to undermine the opposition in favor of ccm! Takukuru the same. We still, in the move, witnessed the party's struggle to weaken the power of the law through illegal demonstrations, workers strikes with oppositions political face, uttering ambiguos statements aiming at instigating insecirity etc.
Now lets critically observe the issue as great thinkers of the forum, substantiate the values- pros and cons of the party's face as it prepares to hold the state power in 2015. Shall chadema accept the same as CCM is doing? Shall it turn dictatorial to fight back its self prepared enemy?
I doubt whether the police, TISS etc will be ready to defend the interests which the party is now pro. I predict cdm will turn, if not Kagame then Hitler to blow of the fire it is setting now. What are your points of view?
si kweli mkuu, mikutano ya cdm inaombewa kibali kwa polis, baadae polis wanavuruga. Mkuu cdm wanafahamu taratibu.Siamini kama wewe unaongea mambo haya ukiwa Tanzania? Hiyo "we... witnessed" mmeshuhudia wewe na nani? Ni wapi ambako CDM imefanya mikutano au maandamano bila kutoa taarifa polisi? Au na wewe unashabikia ujinga wowote unaouona? Ni tamko gani tata lililohatarisha usalama?[/QUOT
Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?