Tunategemea kuwa na kikundi cha wapambanaji ambacho hakitahusisha viongozi wa chama wala wabunge. Kikundi hiki kitakuwa na jukumu la kuzunguka Tanzania nzima kuhamasisha vijana kuona umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura. Kikundi hiki kitakuwa ni cha watu waliojitolea na walio tayari kufanya kazi usiku na mchana katika kuleta uhuru wa kweli kwenye nchi yetu. Pendekeza kikundi kiitweje na nani ungependa awe mmoja wa wapambanaji
January Makamba
hicho kikundi kitafadhiliwa na nani? hii ni ishara kuwa vijana wengi wa bavicha njaa inauma. sidhani kama mtu una kazi zako za maana utakubali kuingia kwenye hicho kikundi.
Hapo umeguna au umekoroma? Naona makundi yanakinyemela chama. Tuache hayo, kuna kitu najiuliza, kweli cdm mmeshindwa kupenya defence ya ccm dar? Nafikiri kuna haja ya kubadili strategy, kama ccm wana nyumba kumi nyinyi tumieni wapangaji watano. Kama wao wana wajumbe nyinyi tumieni wawakilishi,n.k Strategy nyingine nai-reserve mpaka mtakapoonesha nia ya kuiihitaji.Mmmhhhhhh! Mmmmhhh!
km umeamua kujitolea we jitolee tu japo malipo yanaweza kuwa cyo leo malipo utayapata pale wajukuu zako watakapopata haki zao za msingi km elim afya bora na kodi atakazotozwa zifanye kazi inavyotakiwa na cyo kuliwa na wajanja km sa iv watu wanakula hela ya mlipa kodi na still wapo mtaan wakujiachia
Katika chaguzi ambazo hazitumii daftari la Wapiga kura hata cdm ikishindwa sioni tabu. Pia kuna haja ya kuliboresha daftari hilo. Vijana wengi wa cdm hapo mle!!Hapo umeguna au umekoroma? Naona makundi yanakinyemela chama. Tuache hayo, kuna kitu najiuliza, kweli cdm mmeshindwa kupenya defence ya ccm dar? Nafikiri kuna haja ya kubadili strategy, kama ccm wana nyumba kumi nyinyi tumieni wapangaji watano. Kama wao wana wajumbe nyinyi tumieni wawakilishi,n.k Strategy nyingine nai-reserve mpaka mtakapoonesha nia ya kuiihitaji.
Vijana sawa hawamo kwenye daftari,lkn Cdm ni ya vijana pekee?. Kwa Dar bila kushika serikali za mitaa, mabadiliko yatabaki kuwa bahati nasibu. Mwananchi akihitaji hata huduma yoyote kwenye serikali za mitaa anaambiwa aanzie kwa mjumbe. Mjumbe huyohuyo ndo balozi wa ccm. Akifika kwa mjumbe, mjumbe naye anamkomoa kwa kushabikia upinzani. Matokeo yake anaona kuwa chama cha upinzani ni kero. Akifikia hiyo hatua, hata mruke na helikopta ishirini wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, yeye kwake ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kama cdm inaipenda dar, itabidi ianze na 'huduma kero' za hao wajumbe (mabalozi wa ccm).Katika chaguzi ambazo hazitumii daftari la Wapiga kura hata cdm ikishindwa sioni tabu. Pia kuna haja ya kuliboresha daftari hilo. Vijana wengi wa cdm hapo mle!!
Tunapiga kelele kila siku kuwa CDM haijafika kwenye grass root bado. Ilikuwa inabidi kila penye mjumbe wa ccm na chadema wana wa kwao kwani hicho si cheo cha serikali bali cha chama. CDM iwe na matawi yake pia penye matawi ya ccm. Hapo ndo CDM kinge kuwa mark wapinzani wake vizuri! Japo juhudi kubwa inafanyika lakini bado kibarua ni kugumu na 2014 si mbali!Vijana sawa hawamo kwenye daftari,lkn Cdm ni ya vijana pekee?. Kwa Dar bila kushika serikali za mitaa, mabadiliko yatabaki kuwa bahati nasibu. Mwananchi akihitaji hata huduma yoyote kwenye serikali za mitaa anaambiwa aanzie kwa mjumbe. Mjumbe huyohuyo ndo balozi wa ccm. Akifika kwa mjumbe, mjumbe naye anamkomoa kwa kushabikia upinzani. Matokeo yake anaona kuwa chama cha upinzani ni kero. Akifikia hiyo hatua, hata mruke na helikopta ishirini wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, yeye kwake ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kama cdm inaipenda dar, itabidi ianze na 'huduma kero' za hao wajumbe (mabalozi wa ccm).