CHADEMA ondoeni aibu

Kuwa na ofisi nzuri kunasaidia nini katika kuletea mabadiliko. CCM wana ofisi kila mkoa lakini ufisadi ndio wanaongoza.
 

Mbona unatokwa povu bila sababu?
CCM yenye office imekufanyia nini mpaka sasa?
Jitahidi kufikiria kabla ya kupost zuzu we.
 
Chadema kimejaa ukiritimba wa hali ya juu. Ruzuku inaishia kugawana posho za maandamano.

Mazuzu kama nyie ndio mtaji wa CCM,huna lolote zaidi ya kuvizia posho kwa katibu mwenezi wa majungu na kuropoka.
 
Ukifikiri kwa kutumia viungo vya kutolea hewa chafu lazima utoe post za kimbeya na kipuuzi kama hizi.
Pole, moto ulioanza hauzimiki hata kama ofisi ni za makuti. Kwani TANU walipoanza kudai uhuru mlikuwa na jengo la vijana, na ofisi kila mkoa?
 
Mkuu nimekumbuka kumbe ndiyo maana mmeenda Ikulu kujenga historia ambayo haijawahi kutokea. MMEKWENDA KUTAFUTA WATOTO IKULU MAHALI PATAKATIFU? Kweli ukisema ofisi zenye viyoyozi sikushangai. Haijawahi tokea raisi wa nchi akaenda kudu ikulu hadi kupatikana machild poleni
 

Uzuri wa paka sio rangi ya manyoya,ni kukamata panya.Hatuna fedha za kifisadi kama nyinyiem, na kiofs chetu hcho hicho tunapiga kazi
 
chademani makamanda viti vya nini?...M4C mwaka itawapa ugonjwa wa moyo..
 
ofisi ya CDM ipo miyoni mwa wanachama na wanaoipenda nchi ya Tanzania
 
"...unajiumauma tu!are real great thinker?kwanini cdm ikikosolewa mnakuwa wakal?watu kama nyie ndo waua chama"

BMT umesema kweli isitoshe wakishindwa hoja wanatoa matusi!!!
 
tunakujua filifili wewe zao la mafisadi tuacheni na chadema yetu jiandaeni kuwa chama pinzani 2015 chama cha mafisadi kwisha kazi:confused2:
 
Waache bado wadogo, wakikuwa wataacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…