CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa wanadhani wananchi wote ni wajinga kama wao, hivi utawaamini vipi vinyonga kama hawa? Juzi Lowasa akiwa Azam TV alisema kamati kuu ya Chadema ilienda kumuomba akagombee uraisi huko, halafu wakaja na vijimaneno eti wamemhoji juu ya kashifa zinazomkabili baada ya kujieleza ndiyo wakampokea, hivi kweli mtu aliyeenda kumpigia magoti aje kwako utakuwa na nguvu ya kumhoji?

Jamaa kasha wakamata ndiyo maana alipo sasa kama wapo viongozi wa juu Chadema wanakuwa wadogo na wasiyo jiamini kwa kuwatazama tu.
 
Hii ni hasara kwa Taifa kuwa Na vijana wasio Na msimamo kama hawa.!
Yaani hawajui wanasimamia nini.!
 
Mashetani wanaopenda tuendelee kunyonywa wamejipanga ipasavyo kuhakikisha Lowassa ndiye rais 2015, wameziba kabisa masikio kutotaka kusikia vilio vya watanzani. Makanisani, misikitini, vilabuni, vijiweni, maofisini kote wameenea. Wanachojali ni pesa chafu anazotoa kama sadaka inayozidi kuitia laana nchi hii. Ni mioyo iliyokufa tu inayoweza kukubali Lowassa sio fisadi, Baba wa Taifa alisha muona mapema huyu kijana ananuka. Wengi wanasema anaweza kuwa rais, sio kwa sababu anafaa bali ni mwenye mbinu chafu za kishetani kufanya chochote anachoweza, Nape Nnauye shaidi wangu

My Take
CHADEMA kama chama cha wananchi wanyonge, mmetumia mda mwingi kupambanua majanga makuu ya watu wanaoangamiza taifa letu ikiwepo Lowassa na wananchi wamesikia sauti zenu, hivyo tunawaomba kwa nguvu ile ile muitaadharishe jamii juu ya Janga Lowassa kwani kuna kila dalili za kufanya ikulu iendelee kuwa pango la wanyanganyi. Shame on him and his followers
Cha kushangaza sasa hivi mnamuona ndo mkombozi wenu huyu mtu,
 
Hizi Nyuzi zingine sio za kuamusha kabisa, kamanda naona dua zako zilisikika Lowasa hakufakiwa kuwa Rais.

Ama kweli sifa kuu ya Mtanzania ni unafiki.!

Hayo maneno kwenye red makali sana mheshimiwa.
Unafiki na undumi la kuwili ni janga sugu la wazawa!!
 
Mtuachie Lowasa Wetu,Wengine Tumeanza Kumpenda Tangu '95!ahahaha,sasa hawa die hard fans wa juzi juzi wanaishia kuaibika tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom