mkuu kuna post zingine huwa unaposti na huwa na kuwa against na wewe ila hii ya kushabikia uchaguzi wa kenya kwa bias imeniudhi kwelikweli. sisi tutakuwa wageni wa nani kama tutaleta ushabiki wa kuchagua huko kenya, na hata kama tunayemshabilia atashinda lakini hao waliempigia mwengine wanatuonaje? si suala la kufikiria tu na kuacha kupost pumba kama zile.Duuuh mkuu maneno mengine weka akiba ya uzeeni ndugu,
Jf sio mwisho wa maisha, kumbuka kunamaisha nje ya jf tena matamu balaaa.
Karibu sana katika ulimwengu wa mchezo wa siasa.
Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia mia, ila nina wasiwasi na CCM wanaweza kutumia mbinu ambazo wanatumia siku zote hapa kwetu ili wamuokoe Uhuru ashinde. Yetu macho na masikio.Karata yangu naitupa kwa Raila Amollo Odinga wa muungano wa CORD.
Lakini hali inavyoonyesha kutakuwa na duru ya pili ya kura.
Hebu tusaidie, ni wapi CHADEMA wamesema wanamuunga mkono Odinga?
mkuu kuna post zingine huwa unaposti na huwa na kuwa against na wewe ila hii ya kushabikia uchaguzi wa kenya kwa bias imeniudhi kwelikweli. sisi tutakuwa wageni wa nani kama tutaleta ushabiki wa kuchagua huko kenya, na hata kama tunayemshabilia atashinda lakini hao waliempigia mwengine wanatuonaje? si suala la kufikiria tu na kuacha kupost pumba kama zile.
wewe endelea tu na zile kama za ccm wakimuacha lowasa..... hiyo sawa. japokuwa hata ile ya udini sikuifagilia sana kwa sababu tunazidi kuongeza mpasuko wa WaTz na viongozi wetu tangu uhuru wameshindwa kulitatua hili. suala doooogo la kuwaita tu viongozi wa dini zote wanaoona wanaonewa/onea na kukaa pamoja na kujadili mstakabali wa taifa letu kwa masilahi yetu ya sasa na baadaye. fikiria mkuu juu ya kile unachokipost na madhara yake.
*Kilimtumia magari, wasanii kuzunguka nchi nzima
WAKATI wananchi wa Kenya leo wanatarajia kupiga kura kumchagua rais wa nchi hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeonekana kumbeba mgombea urais kupitia Chama cha ODM ambacho kimo ndani ya Muungano wa CORD, Raila Odinga, kwa kupeleka magari na timu ya wasanii kumsaidia wakati wote wa kampeni zake.
Chadema ambao wanadaiwa kuwa rafiki mkubwa wa Odinga, kilituma magari mawili aina ya Fuso kwa ajili ya kumpigia kampeni ambazo zimedumu kwa mwezi mmoja.
Mbali ya kutuma magari hayo, Chadema walituma kikundi cha wasanii kikiongozwa na mwimbaji maarufu wa chama hicho, Fulgance Mapunda 'Mwanakotide'.
Mbali ya chama hicho, Watanzania wengi ambao wanadaiwa kumuunga mkono Odinga na wamekuwa wakitajwa mara kwa mara ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli na Rostam Aziz.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa Chadema, Boniphace Makene alikiri chama chake kupeleka magari hayo na wasanii kwa ajili ya kumsaidia Odinga na timu yake kuendesha kampeni zake kwa ufanisi.
"Ni kweli kwa kipindi cha miezi mitatu sasa, timu ya Chadema imekuwa ikizunguka katika miji mbalimbali nchini Kenya, kwa ajili ya kumsaidia mgombea wa Muungano wa CORD kupiga kampeni, kumekuwa na mafanikio makubwa mno.
"Tuliruhusu magari yetu mawili aina ya fuso, ambayo yalikuwa na vifaa vya kisasa kwa ajili ya muziki na wasanii wawili, Mwanakotide na Pepe ambao kwa kweli wamefanya kazi kubwa, tunaamini mchango umeonekana," alisema Makene.
Alisema magari hayo, yalitumiwa na Odinga katika mikutano yote ya kampeni, ambazo zilihitimishwa juzi katika Uwanja wa Nyayo mjini Nairobi.
"Kama ulifanikiwa kuangalia televisheni, juzi kwenye Uwanja wa Nyayo, magari yale yalikuwa kivutio kikubwa sana, yalikuwa yamepambwa picha nyingi za Odinga na Kalonzo Musyoka, ambaye ni mgombea mwenza wake," alisema Makene.
Kwa upande wake, Mwanakotide alipoulizwa alisema wamekuwa Kenya kwa kipindi cha miezi mitatu kusaidia ODM, kutokana na kuwa na uhusiano mzuri na chama chao.
"Tumekuwa na mafanikio makubwa, kazi yetu ilikuwa kuhubiri amani na kuwataka Wakenya kuachana na mambo ya ukabila na chuki, tunaamini wametuelewa…unajua wale ni jamaa zetu, lazima tuwasaidie," alisema Mwanakotide.
Kwa hisani ya Gazeti la Mtanzania.
Chadema yambeba Odinga
Hapa lililosema ni Gazeti la Mtanzania..... Nataka mahali ambako CHADEMA imesema kuwa inamuunga mkono Odinga, naomba unielewe! Nataka Kauli ya CHADEMA, sihitaji udaku tafadhali!
......
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa Chadema, Boniphace Makene alikiri chama chake kupeleka magari hayo na wasanii kwa ajili ya kumsaidia Odinga na timu yake kuendesha kampeni zake kwa ufanisi.
"Ni kweli kwa kipindi cha miezi mitatu sasa, timu ya Chadema imekuwa ikizunguka katika miji mbalimbali nchini Kenya, kwa ajili ya kumsaidia mgombea wa Muungano wa CORD kupiga kampeni, kumekuwa na mafanikio makubwa mno.
"Tuliruhusu magari yetu mawili aina ya fuso, ambayo yalikuwa na vifaa vya kisasa kwa ajili ya muziki na wasanii wawili, Mwanakotide na Pepe ambao kwa kweli wamefanya kazi kubwa, tunaamini mchango umeonekana," alisema Makene.
Alisema magari hayo, yalitumiwa na Odinga katika mikutano yote ya kampeni, ambazo zilihitimishwa juzi katika Uwanja wa Nyayo mjini Nairobi.
"Kama ulifanikiwa kuangalia televisheni, juzi kwenye Uwanja wa Nyayo, magari yale yalikuwa kivutio kikubwa sana, yalikuwa yamepambwa picha nyingi za Odinga na Kalonzo Musyoka, ambaye ni mgombea mwenza wake," alisema Makene.
mkuu kuna post zingine huwa unaposti na huwa na kuwa against na wewe ila hii ya kushabikia uchaguzi wa kenya kwa bias imeniudhi kwelikweli. sisi tutakuwa wageni wa nani kama tutaleta ushabiki wa kuchagua huko kenya, na hata kama tunayemshabilia atashinda lakini hao waliempigia mwengine wanatuonaje? si suala la kufikiria tu na kuacha kupost pumba kama zile.
wewe endelea tu na zile kama za ccm wakimuacha lowasa..... hiyo sawa. japokuwa hata ile ya udini sikuifagilia sana kwa sababu tunazidi kuongeza mpasuko wa WaTz na viongozi wetu tangu uhuru wameshindwa kulitatua hili. suala doooogo la kuwaita tu viongozi wa dini zote wanaoona wanaonewa/onea na kukaa pamoja na kujadili mstakabali wa taifa letu kwa masilahi yetu ya sasa na baadaye. fikiria mkuu juu ya kile unachokipost na madhara yake.
Viongozi wa CDM ambao walituma vikosi vya Kumsaidia Odinga wameumbuliwa na Matokeo ya Uhuru kuibuka Kidedea.
Walionyesha wazi kumuunga Odinga huku wakimponda swaiba wa Odinga Magufuri kuwa alitumwa na CCM.
Kwenye mitandao waliandika Matokeo ya kenya ndiyo refrection ya 2015. Yetu macho! KAZI IPO TANZANIA, akili nyingi maarifa hatuna.
Tunatafakari mambo mazito na kuyapa uwepesi. Huu ni uvivu wa kufkiri. Tuijenge Tz, siasa Mwisho wake kwa ushabiki huu siyo Mzuri.
Kweli Magambaz hamnazo, mmeshindwa kutatua matatizo yenu ya ufisadi, Rushwa, kushuka kwa kiwango cha elimu, ukosefu wa huduma za afya, n.k badala yake mnajipatia sifa za kijinga ati ushindi wa Uhuru umetokana na Umafya wa CCM katika uchakachuaji wa kura.
Pole yako mkuu, Mh. Mbowe yupo mjini Musoma akiisulubu CCM. Hakuna kulala mpaka kieleweke.