Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
- Thread starter
-
- #41
Wewe Yeriko, hukusikia ndugu Pombe Makufuli alienda kumpigia kampeni odinga?, naomba ufafanuzi.
Pamoja.Pombe alichemka, na alishaonywa ndani yabchama chao, sasa jicho la CCM ni Uhuru tu na Kinana yupo huko kuokoa jahazi la Uhuru.
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,
Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.
Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,
Ikiwa ni hivyo tayari ccm na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.
Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)
Karata yangu naitua kwa CHADEMA.
Pamoja Mkuu Yericko Nyerere lakini katika mtanange huu Waziri Pombe Magufuli mtashangilia naye au unamweka upande gani?
Usilete ukabila Mkuu, hilo ndilo tunalopigana nalo, ukabila ni sumu, mambo ya dharuo umeyatoa wapi???Mkuu mimi ni CDM, lakini nitasikitika sana akishinda jaluo.
ni lini CHADEMA wametangaza kumuunga mkono Odinga au Kenyata au CCM wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee Watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
wabongo akili zenu mnazijua wenyewe hii thread ni ya kipumbavu
Mwendesha Mashitaka alikuwa kwetu Tz majuzi!!! Uhuru inaungwa mkono na magamba!! Draw the line!!
Kwenye hitimisho la kampeni zao. Nilishangaa kuona bendera za Marekani zikipeperushwa pale Nyayo stadium nikadhani labda ni kwa kuwa rais wa marekani ni jaluo.Usilete ukabila Mkuu, hilo ndilo tunalopigana nalo, ukabila ni sumu, mambo ya dharuo umeyatoa wapi???
John Pombe Magufuli alikwenda kuzindua kampeni za Odinga na kumpigia debe, je ndani ya CCM yuko katika nafasi gani? Je ni hatua zipi za kinidhamu anastahili kuchukuliwa na CCM?!
Marekani ni taifa kubwa duniani tena raisi wa AMERIKA NI KIJANA WAO, hivyo wana haki ya kufanya hivyo!!!Mkuu ebu fikiria ingelikuwa ni bongo kwa udaku wetu, wawe na presida USA si pangechimbika?????
Obama ni mjaluo, lakini kumhusisha na local party politics ni kumkosea heshima. Lilikuwa kosa kubwa la kiufundi kupeperusha yale mabendera. Sema Afrika ndiyo hivyo tena.Marekani ni taifa kubwa duniani tena raisi wa AMERIKA NI KIJANA WAO, hivyo wana haki ya kufanya hivyo!!!Mkuu ebu fikiria ingelikuwa ni bongo kwa udaku wetu, wawe na presida USA si pangechimbika?????
he he he he!!!!! kapitishwa uani huyu alafu katokea sebuleni Nairobi!!! he he he!!!!!
Mzee Kivuitu alishafariki? Ama kweli dhambi hulipwa hapa hapa.let Odinga Win the election bana, marehemu kivuitu alimdhulumu kwa woga wake na kumtangaza aliyeshindwa kuwa mshindi i mean kibaki,