CHADEMA nzito zaidi ya CCM

CHADEMA nzito zaidi ya CCM

Akili yako wewe huwezi kumuelewa mleta hata uusome uzi huu mwaka mzima

Mkuu huyo mdam cockroach asikupotezee muda bure uchangiaji wake ni wa ki kenge kenge kama sura yake. Hana jipya huyo mkuu yeye ni unazi wa kichama tu.
 
Nakubaliana nawe kwa %90, Kwa mfano naamini kabisa kafulila Kama angepita ktk ubunge wake Leo asingehama upinzani.Ni hali tu ya maisha imemtandika imebidi afanye hivyo.
Kafulila, Masha, Katambi.....CCM inajua sana kutumia njaa za watu
 
Ni Swala la mda ccm, itaondoka madarakani tu.. penda isipende..kwa style yoyote!! dalili ya mvua mawingu.. na wote tutayaona haya.. niwaulize wana jukwaa kuna mtu alijua mugabe ataondolewa madarakani kwa style ile ? Zaidi ya Mola..
 
Mkuu huyo mdam cockroach asikupotezee muda bure uchangiaji wake ni wa ki kenge kenge kama sura yake. Hana jipya huyo mkuu yeye ni unazi wa kichama tu.
Ni kweli mkuu hilo binti ni taahira fulani hivi
 
Wewe kuitwa msukule ni neno chafu???Angalia basi comment zako ubavyozodolewa unastahili kuitwa msukule

Oooh
Kuzodolewa hiyo najulikana humu huwa hainigusi hata kwa nchaaaa.. nikiamua najibu nonodz tu na wanakimbiaga..
Unaogopa mbona ha ha haaaaaa..

CIAO
 
Oooh
Kuzodolewa hiyo najulikana humu huwa hainigusi hata kwa nchaaaa.. nikiamua najibu nonodz tu na wanakimbiaga..
Unaogopa mbona ha ha haaaaaa..

CIAO
Kwanini uwe unazodolewa wewe tuu??Ujue unamapungufu watu wote wakuchukie???
 
Mapambano bado yataendelea tulisha yaanza lazima tuyamalize hatuwez kuwa wajinga kiasi icho CMM 2020 ndo mwisho wake kwenye ramani ya Tanzania ikumbukwe iii
we jamaa unachekesha sana! unapambana kwa namna gani sasa, huku idadi yenu ikizidi kupukutika?
 
Kwamba CHADEMA sasa kina wanachama na wapenzi wengi kukipita kwa mbali Chama kilichoanzishwa mwaka 1954, ni kweli kabisa. Hata wao wenyewe wanajua hivyo.
 
Hilo liko wazi ukizingatia zuio la shughuli za kisiasa, kamatakamata dhidi ya wapinzani na vitisho lukuki, kama CDM ingekua lelemama hawakuhitaji kufanya hujuma zote hizo dhidi yake, hata hivyo yaliyomsibu Mugabe ni darasa kubwa kwa CCM, muda utaongea kwani hakuna barabara ndefu isiyokuwa na ukomo, dhuluma haijawahi kushinda haki katika historia ya dunia!
 
Back
Top Bottom