Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
kweli shida mwanaharamu,kakwambia nani kuwa ukimiliki kadi ya chama cha siasa ndio umepata ajira?Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
cdm ni bomuuuu
Bora hao kuliko kina zitto na slaa ambao watufanya sie assets za kuombea mikopo ujerumani!Kwani ulipoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania ulienda hazina kuvunja ulipoona hayapatikani???? Dogo majungu si mtaji, fanya kazi acha kulalama kama mpiga debe.
Nape ndio baba yako mdogo.Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
Huna lolote unapima upepo unasema umechoma ss waje kuchukua nini kafie mbali
Nape ndio baba yako mdogo.
Nenda ccm ukapate kazi.nina miaka kibao , nitajaribu kupima baada ya kuchoma kadi weekend hii!
cdm ni bomuuuu
Vijana wa nape kwa vituko!!!!!!!!!!
natanguliza busara na weledi!
Chadema njooni mchukue kadi yenu, na wiki iliyopita nimeichoma kadi ya Cdm sasa unataka waje wachukue kadi ipi? Mbwa pori wewe kalalwe huko
mzimu wa ccm unakutafuna sasa, hizo pesa zao ulichukua za nini? Au ulijiunga uje kuvuna baba huku sio kama kwenye magamba kwenye tope la rushwa bali ni cdm lengo lake ni kumkomboa mwananchi
Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
labda ya kudeki chooni kwa Nape, lakini ofisi yenye watu makini hawawezi kuajiri kilaza kama wewe
Ujinga wako ni mtaji tosha
hakuna lolote unalojua wewe, ukitaka kujua uelewa wa mtu upo juu au chini ni kwa hoja mbovu kama hii ya kwako wala huitaji kumjua mtu uelewa unaweza pimwa kwa njia kama hiyo