vijana wanategemea chadema ikiingia madarakani watapata kazi kwa kupewa nafasi kama vile ubalozi.nk bila kujua kuwa hizo nafasi ni chache kiasi kwamba wengi wao watabaki bila hata kuonekanaBaada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
vijana wanategemea chadema ikiingia madarakani watapata kazi kwa kupewa nafasi kama vile ubalozi.nk bila kujua kuwa hizo nafasi ni chache kiasi kwamba wengi wao watabaki bila hata kuonekana
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
yah!ccm nako watu walidhani wakiipigia kifua watapewa ukuu wa wilaya,sasa wanashangaa holaaa! sasa wanaanza kuipondaKama ilivyo kwa UVCCM saizi baada ya kukosa ukuu wa wilaya siyo????
Nikuulize tena kama nilivyowahi kumuuliza kilaza kama wewe , mvivu wa kufikiri, mwenzio nilimuuliza hivi: hiyo M4C unayosema inawapotezea muda wa maendeleo vijana ni kila siku inafanyika katika eneo moja ? mimi ninachojua M4C ni uhamasishaji na hakuna njia mbadala unaweza kutumia kukipeleka chama kwa wananchi zaidi ya kuwahamasisha na kuwajengea uelewa
M4C mangamba naona inawatesa sana, na tulishajua inawaumiza itapigwa hiyo mpaka kieleweke
Kwani wewe ulitegemea kupata kazi kupitia CDM? Ila Pole sana na mtazamo wako finyu.
Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
mm ni kilaza kwamtazamo wako , sawa! lkn mie najua labda ni zaidi kwa vile unaonekana una jazba, naheshimu mtazamo wako !
labda ya kudeki chooni kwa Nape, lakini ofisi yenye watu makini hawawezi kuajiri kilaza kama wewe
nina miaka kibao , nitajaribu kupima baada ya kuchoma kadi weekend hii!Wahi kupimwa maralia, maana malaria ina tabia ya kuoteza mwendendo wa muda wa kufanya/kuandika vitu vya maana.