CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

Mbowe huko unakoelekea siko
Kwanini ifike hali kama hiyo ndani ya chama.

Mwenyekiti ni wewe

Katibu ni wewe

Mhasibu ni wewe
Je wewe pekee ndiyo unayekijua chama kinataka nini au ndio kusema umenunuliwa hvyo hauko tayari kumwangusha aliyekununua

My take: kwanini utumie ubabe ili kumfurahisha fulani?
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
(3)Slaa aliwahi kusema kuwa anapata Nyaraka kwa watu wa Tiss , sasa angalia Mkurungezi wa zamani Tiss Apson ameonekana kwa Lowasa, Kingunge ambaye hajawahi kukaa na Slaa amejitokeza kwa Lowasa , akina Emmanuel Nchimbi na Sophia Simba ambao ni watu wa ndani serikalini na wameshiriki kukuibia wewe slaa kura wamejitokeza Nyuma ya Lowasa na wala hawawezi kujitokeza kwako je wewe huna akili ya kuona haya???
(4) Lowasa hadi leo ana ulinzi wa Ikulu ambao hauwezi kuhujumiwa , wewe Slaa juzi tu mlinzi wako amenunuliwa.
Lowasa hawezi kupewa nyaraka feki toka ikulu kwa kuwa kuna akina Apson , je wewe una nani zaidi ya Mkeo ambaye umempora kutoka kwa watu wa CCM??

Nina hasira na wewe Slaa pamoja na mkeo toka haraka huko uje huku Mungu anakuita kwa mara ya mwisho umuunge Lowasa katika urais vinginevyo utapotea Kisiasa bado wiki moja tu utapoteza mwelekeo

MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
(4)Kama Lowasa ni mwizi na dhaifu kisiasa kwa nini CCM wanahangaika baada ya Lowasa kuchukua form??
(5)Kama Lowasa ni mgonjwa , Kwa nini CCM wananahaha baada ya Lowasa kuchukua form? Je wanamuogopa mgojwa??
HOJA DHAIFU KWA CCM
(1)CCM walisema Lowasa ni Mwizi na anatakiwa kujivua Gamba sasa Lowasa ameondoka kwa nini munahofu???
(2)Kama Lowasa ni mwizi Kama wanavyoamini CCM basi nawashauli CCM wasihangaike na jina la Lowasa kwenye tume ya Uchaguzi , waliache harafu wapime nguvu ya Lowasa na Mangufili!!
Kikwete alisema Chama si mtu sasa uje umunadi Mangufu wakati anapambana na Lowasa!!
(3)Nawaomba CCM waje na ushahidi kwenye majukwaa ya Siasa kuonyesha kuwa Lowasa ni fisadi wasikimbilie kwenye kamati ya maadili na NEC.
Wakifanya hivyo basi wananchi watachambua pumba na mchele
 
Slaa atarud tu cdm

Shida sio kurudi kwa Slaa ila tayari chadema imeshameguka kwa kuingiliwa na makundi ambayo hayakuwepo kama team lowasa, 4c movement kitu ambacho ni hatari kwa mustakabari wa chama na ukombozi wa taifa
 
Mbowe huko unakoelekea siko
Kwanini ifike hali kama hiyo ndani ya chama.

Mwenyekiti ni wewe

Katibu ni wewe

Mhasibu ni wewe
Je wewe pekee ndiyo unayekijua chama kinataka nini au ndio kusema umenunuliwa hvyo hauko tayari kumwangusha aliyekununua

My take: kwanini utumie ubabe ili kumfurahisha fulani?
"Ee Mola mwingi wa rehma, msamehe mja wako Mmanu kwa kuwa hajui hili aandikalo!" Amina!!
 
mh zitto hongera kwa kuwa pembeni na hii saccos! chadema kwa sasa imenunuliwa na mafisadi. chadema ya zamani sio ya sasa! jenga ACT WAZALENDO. IPO siku utofauti na chadema ya sasa UTAONEKANA! sasa ona, mbowe anavyomburuza Dr slaa. zitto endelea kuchekelea tuuuuuuu maana ulifukuzwa kwa mbwe mbwe!! CHADEMA NI MAFISADI KWA SASA!
 
Sasa nakubaliana na Zitto Kabwe kwamba CHADEMA inaendeshwa na mwenyekiti dhaifu. Haiwezekani fisadi anakatwa katika chama chake halafu anakuja CDM na kugombea urais. Ni afadhali angejiunga na kuwa mwanachama wa kawaida kuliko hiki kilichotendeka. Wakati wengine walikisotea chama hadi kikafahamika wanatoswa na kupuuzwa. Hata mimi ningekuwa Dr. Slaa nisingekubali.
 
Hivi mkiambiwa mtoe ushahidi wa kununuliwa chadema mtatoa?? pesa walipeana wapi? Cash au cheque?
 
Mbowe hana Permanent Friend wala Permanent Enemy but only Permanent interest. Zitto na Slaa wanaweza kumuelezea Vizuri sana Mbowe kwenye Theory hii.Muda wowote popote hata ikibidi akiwa angani anaweza kubadili Gia bila ya ushauri wala kutaarifu 'Cabin crew' wake!

When the jet lose its durection automatically corraps....

Cdm kaiua mbowe kwa sumu yake
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
(3)Slaa aliwahi kusema kuwa anapata Nyaraka kwa watu wa Tiss , sasa angalia Mkurungezi wa zamani Tiss Apson ameonekana kwa Lowasa, Kingunge ambaye hajawahi kukaa na Slaa amejitokeza kwa Lowasa , akina Emmanuel Nchimbi na Sophia Simba ambao ni watu wa ndani serikalini na wameshiriki kukuibia wewe slaa kura wamejitokeza Nyuma ya Lowasa na wala hawawezi kujitokeza kwako je wewe huna akili ya kuona haya???
(4) Lowasa hadi leo ana ulinzi wa Ikulu ambao hauwezi kuhujumiwa , wewe Slaa juzi tu mlinzi wako amenunuliwa.
Lowasa hawezi kupewa nyaraka feki toka ikulu kwa kuwa kuna akina Apson , je wewe una nani zaidi ya Mkeo ambaye umempora kutoka kwa watu wa CCM??

Nina hasira na wewe Slaa pamoja na mkeo toka haraka huko uje huku Mungu anakuita kwa mara ya mwisho umuunge Lowasa katika urais vinginevyo utapotea Kisiasa bado wiki moja tu utapoteza mwelekeo
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
(4)Kama Lowasa ni mwizi na dhaifu kisiasa kwa nini CCM wanahangaika baada ya Lowasa kuchukua form??
(5)Kama Lowasa ni mgonjwa , Kwa nini CCM wananahaha baada ya Lowasa kuchukua form? Je wanamuogopa mgojwa??
HOJA DHAIFU KWA CCM
(1)CCM walisema Lowasa ni Mwizi na anatakiwa kujivua Gamba sasa Lowasa ameondoka kwa nini munahofu???
(2)Kama Lowasa ni mwizi Kama wanavyoamini CCM basi nawashauli CCM wasihangaike na jina la Lowasa kwenye tume ya Uchaguzi , waliache harafu wapime nguvu ya Lowasa na Mangufili!!
Kikwete alisema Chama si mtu sasa uje umunadi Mangufu wakati anapambana na Lowasa!!
(3)Nawaomba CCM waje na ushahidi kwenye majukwaa ya Siasa kuonyesha kuwa Lowasa ni fisadi wasikimbilie kwenye kamati ya maadili na NEC.
Wakifanya hivyo basi wananchi watachambua pumba na mchele

Uko juu kamanda
 
hivi lowasa akipata urais na akaacha kufata matakwa ya chadema, utatuambia nini wanachadema na watanzania wote kwa ujumla.
 
Si ameshakinunua chama? Katoa 10bn, si haba. Ana haki kufanya atakavyo. Au hujui kuwa hata jina kimebadilishwa na kuitwa Team Lowassa
 
Back
Top Bottom