GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !
Huu ndio mwisho wako wa uwezo wa kufikiri? kwa taarifa yako wanaharakati ndilo kundi la mabadiliko dunia mzima, usikurupuke kuongea kitu ambacho huna ufahamu nacho. au pilau la hapo Lumumba limeshakulevya?
what demarcates mwanaharakati na mwanasiasa? do this homework then come back again for another assignment.
Hizi habari nimezisikia pia kwenye Mihadhara yetu Temeke!
hizi habari nimezisikia pia kwenye mihadhara yetu temeke!
Unadhihirisha vile ulivyo, Hata kueleza aina ya harakati hizo huwezi! Hujaenda tofauti na medula yako! Filososi ya CDM imejitenga na siasa mgando za Afrika hivyo yahita mwangaza murua kuenenda na siasa za ukombozi CDM zenye shinikizo la umma!
Penda kujifunza sio kufundisha!!
nakumbuka hata wakati wakimpokea yule jamaa aliyekuwa mwenyekiti wa mbeya walisema haya maneno. mabadiliko yanalitwa na wanaharakati ambao hawachoki kutafuta wanachokitaka ila wanasiasa huwa wanachoka so we keep on moving to see the land which our father have strugggle to liberate frm germany .
bora umejitambulisha kuwa si muungwana nilijua umetoa hoja kama muungwana kumbe mbea? alikuwa sahihi aliyeuliza kama ni KE au MEBasi mmejisajili siko, wanaharakati wanasajiliwa pale wizara ya mambo ya ndani, na vyama vya siasa vinasajiliwa ofisi ya waziri mkuu chini ya msajili wa vyama vya siasa, unaweza sasa kuwashauri CDM wajisajili upya kunako stahiki
Better not to be a follower of any political party..., zinatuchanganya
bora umejitambulisha kuwa si muungwana nilijua umetoa hoja kama muungwana kumbe mbea? alikuwa sahihi aliyeuliza kama ni KE au ME
acheni mawazo mgando jamani, huyo mwananchi anayekosa hata kifungua kinywa asubuhi anawezaje kulima? na huko kulima tutalimaje na wakati mnaanzia propaganda za kilimo kwanza ili kufufua maduka yenu (CCM leaders) ya pembejeo na tender za kuagiza? hukumkulima akiumia kwa kuuza mazao bila vat na kununua kila anachohitaji kikiwa na vat/ na hapo pia tunakosea kuwaelimisha wananchi?haina ubishi cdm ni chama cha umoja wa wanaharakati wanaotumia nguvu nyingi kuliko busara ili kuhakikisha malengo yao yanatimizwa pasipo kujali mustakabali wa watz.
Ukitaka kujua utashi wa chadema ni kuingia ikulu pasipo kujali maisha ya wananchi wa kawaida ni wakati huu wa kilimo kwenda mikoani wakigawana ruzuku huku wananchi wakikosa kushiriki shughuli za kilimo.
wakerereketwa wa cdm fikirini mara mbili kwani mnadhuru jitihada za wananchi kujitafutia ridhiki kipindi hiki cha kulima ama mnatibua kwa makusudi jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwainua kipato cha watz kupitia kilimo kwanza????
Nashukuru kwa kukiri hilo kuwa ni wanaharakati na si wanasiasa, sasa washauri wenzako watafute usajili unao husika wa vyama vya harakati
Mie ni SHABAAB LA MBEGU ila sio mchicha mwiba, teh teh teh !