Msikitini hapana, labda huko huko kanisaniNinachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini
Wewe ukiambiwa uingie barabarani utaweza au unalaumu tu kwa vile unajua ku type?Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.
Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri nguvu ya umma kuingia barabarani.
Zanzibar ilizizima na dunia nzima ilikuwa imekaa mguu sawa ,kwa maana tension ilikuwa high na UN flag ilikuwa rangi nyekundu ,Makao Makuu Mtendeni ilijaa wafuasi wa CUF ,mwisho wa siku CCM waliachia na kukubali Serikali ya Mseto .
Chadema haina mbinu hawawezi kuwatongoza wananchi na badala yake hutumia maneno ya vitisho tuakinukisha .kusema kweli kimenuka sasa wamekosa Uchaguzu wamepoteza , viongozi wamebaki no election ,maana hawamo tena ,waliloliomba wamelipata.
Ninachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini na kwenye vyama vya ushirika wakitafuta kuungwa mkoni.
Wapi Chadema walikosea ? Sehemu mtu anayoweza kupandisha hasira na kupigana au kupigania haki yake ni pale anapodhulumiwa hapo inakuwa ni rahisi na hili linawezekana mara tu baada ya kupiga kura na kuanza kutoka kutangazwa matokeo hapo ndio unaweza kukinukisha kikanuka na ukaweza kuingiza mguu Ikulu ,ila kwa kutegemea kutumia mkutano hio ni ngumu sana .
Kwa style ya Mheshimuwa Lisu haiwezekani zaidi ya kujitia matatani peke yake ,kindende akija kuwataja alioshirikiana nao katika kutaka kuipindua nchi .
Wanachama wa CHADEMA ni kama viluilui wa vyura mwisho wa siku wanabaki peke yao,
Kwanini mambo yao usiwaachie wao na wewe ukaenda chama unachokitaka. Ccm kuwaonea huruma Cdm ni uzwazwa wa hali ya juu mnoNiseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.
Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri nguvu ya umma kuingia barabarani.
Zanzibar ilizizima na dunia nzima ilikuwa imekaa mguu sawa ,kwa maana tension ilikuwa high na UN flag ilikuwa rangi nyekundu ,Makao Makuu Mtendeni ilijaa wafuasi wa CUF ,mwisho wa siku CCM waliachia na kukubali Serikali ya Mseto .
Chadema haina mbinu hawawezi kuwatongoza wananchi na badala yake hutumia maneno ya vitisho tuakinukisha .kusema kweli kimenuka sasa wamekosa Uchaguzu wamepoteza , viongozi wamebaki no election ,maana hawamo tena ,waliloliomba wamelipata.
Ninachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini na kwenye vyama vya ushirika wakitafuta kuungwa mkoni.
Wapi Chadema walikosea ? Sehemu mtu anayoweza kupandisha hasira na kupigana au kupigania haki yake ni pale anapodhulumiwa hapo inakuwa ni rahisi na hili linawezekana mara tu baada ya kupiga kura na kuanza kutoka kutangazwa matokeo hapo ndio unaweza kukinukisha kikanuka na ukaweza kuingiza mguu Ikulu ,ila kwa kutegemea kutumia mkutano hio ni ngumu sana .
Kwa style ya Mheshimuwa Lisu haiwezekani zaidi ya kujitia matatani peke yake ,kindende akija kuwataja alioshirikiana nao katika kutaka kuipindua nchi .
Wanachama wa CHADEMA ni kama viluilui wa vyura mwisho wa siku wanabaki peke yao,
Wakati juhudi za wenye akili wanapotafuta njia iliyo bora kusolve wingu jeusi lililolifunika taifa, mataahira kama wewe hilo hamlioni!Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.
Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri nguvu ya umma kuingia barabarani.
Zanzibar ilizizima na dunia nzima ilikuwa imekaa mguu sawa ,kwa maana tension ilikuwa high na UN flag ilikuwa rangi nyekundu ,Makao Makuu Mtendeni ilijaa wafuasi wa CUF ,mwisho wa siku CCM waliachia na kukubali Serikali ya Mseto .
Chadema haina mbinu hawawezi kuwatongoza wananchi na badala yake hutumia maneno ya vitisho tuakinukisha .kusema kweli kimenuka sasa wamekosa Uchaguzu wamepoteza , viongozi wamebaki no election ,maana hawamo tena ,waliloliomba wamelipata.
Ninachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini na kwenye vyama vya ushirika wakitafuta kuungwa mkoni.
Wapi Chadema walikosea ? Sehemu mtu anayoweza kupandisha hasira na kupigana au kupigania haki yake ni pale anapodhulumiwa hapo inakuwa ni rahisi na hili linawezekana mara tu baada ya kupiga kura na kuanza kutoka kutangazwa matokeo hapo ndio unaweza kukinukisha kikanuka na ukaweza kuingiza mguu Ikulu ,ila kwa kutegemea kutumia mkutano hio ni ngumu sana .
Kwa style ya Mheshimuwa Lisu haiwezekani zaidi ya kujitia matatani peke yake ,kindende akija kuwataja alioshirikiana nao katika kutaka kuipindua nchi .
Wanachama wa CHADEMA ni kama viluilui wa vyura mwisho wa siku wanabaki peke yao,
Kwa hayo mtashinda.Niliambiwa pale makao ya ccm na matawi yao wanaobaki ofisini kati ya kumi basi 9 ni mashoga wa mama tena wakiume
Shoga unaanza na mipasho kwa nini tusikupe baraka kuwa wewe ni mama wa zuchu maana ujengi hoja.Kwa hayo mtashinda.
Mimi sipo na siasa ,ila mkubali tu kuwa CHADEMA hamuwezi kupambana ni piga tajame.Wewe ukiambiwa uingie barabarani utaweza au unalaumu tu kwa vile unajua ku type?
Sawa aunty chizcum,Shoga unaanza na mipasho kwa nini tusikupe baraka kuwa wewe ni mama wa zuchu maana ujengi hoja.
Mimi na wewe ulivyoanza ushaonekana uwezi hata kumiliki wanawake wawili bangosha.we ni kisanvu cha kopoSawa aunty chizcum,
Chadema hai advocate violence katika kufanya siasa zake, tunaamini katika kujenga hoja na kutoa elimu kwa wapiga kura ili watuunge mkono kama tunavyofanya kwenye mikutano yetu ya No Reform No Election na umeona jinsi wananchi wanavyotuelewa na kutuunga mkono jambo ambalo limeitisha CCM hadi kutumia majeshi na Mahakama kutuzuia, hii ndiyo Chadema. Pemba askari Polisi waliuwawa tena mmoja alichinjwa hadi kutenganisha kicha na kiwiliwili, ndiyo siasa unataka Chadema tufanye? Chadema siyo genge la kigaidi.Mimi sipo na siasa ,ila mkubali tu kuwa CHADEMA hamuwezi kupambana ni piga tajame.
Hivi unajuwa polisi kiliwakuta nini Pemba ??? Hadi ikawabidi watafute msaada Tanganyika Kutokea wilaya ya Tanga.