CHADEMA ni "professional"

CHADEMA ni "professional"

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Wabunge,Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na viongozi wa CHADEMA wanastahili sifa. Katika maslahi ya Taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya Taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.

Wapo wanaoshangazwa na CHADEMA sasa kushirikiana na CUF na NCCR-Mageuzi katika kutetea Katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.Wapo katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo UKAWA kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta Katiba mpya. UKAWA wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.

Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa CHADEMA.Wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?

Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa CHADEMA,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri CHADEMA!
 
Wabunge,Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na viongozi wa CHADEMA wanastahili sifa. Katika masahi ya Taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya Taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.

Wapo wanaoshangazwa na CHADEMA sasa kushirikiana na CUF na NCCR-Mageuzi katika kutetea Katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.Wapo katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo UKAWA kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta Katiba mpya. UKAWA wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.

Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa CHADEMA.Wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?

Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa CHADEMA,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri CHADEMA!

- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?

- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!

ES
 
Muungano utavunjwa na wanaojifanya kuulinda huku ukiwa na matatizo kibao.Ni kama kila siku kusuluhisha na kushawisi wanandoa waendelee kuishi pamoja huku kila mmoja akiwa hamtaki tena mwenzake. Matendo yetu kama watanzania ndiyo yatakayovunja Muungano
 
....

Salute YOU !!!

ila mburura wahanga sisiemu wa genetic wako mwaisela !!!
 
Muungano utavunjwa na wanaojifanya kuulinda huku ukiwa na matatizo kibao.Ni kama kila siku kusuluhisha na kushawisi wanandoa waendelee kuishi pamoja huku kila mmoja akiwa hamtaki tena mwenzake. Matendo yetu kama watanzania ndiyo yatakayovunja Muungano

....Msamehe !!!!
 
Hata mpige zumari na matarumbeta CHADEMA imekwisha
 
Muungano utavunjwa na wanaojifanya kuulinda huku ukiwa na matatizo kibao.Ni kama kila siku kusuluhisha na kushawisi wanandoa waendelee kuishi pamoja huku kila mmoja akiwa hamtaki tena mwenzake. Matendo yetu kama watanzania ndiyo yatakayovunja Muungano

- Muungano unatakiwa kurekebishwa sio kuuvunja kisa hamjawahi kupata kura Zanzibar ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi wakubwa, kila uchaguzi mnashindwa halafu sasa kati kati ya mchezo mnataka kuhamisha magoli ili mshinde tu uchaguzi hatawezekana,

es
 
Hoja dhaifu mno, chadema ni marehemu kwa sasa, ongelea kingine
 
Chagadema wamekwisha kisiasa wanatafuta kick kupitia Muungano
 
Muungano gani huo ambao upande mmoja wanautaka na upande mwingine hawautaki? Kule Zanzibar kuna maoni ya kupinga serikali 2, ni CHADEMA walioenda Zanzibar wakayatoa?
 
Napoona mtu anasifia na kushabikia wauwaji natamani kumchapa viboko. Chadema imemwagia watu tindikali, imelisha watu sumu, imelipua watu kwa mabomu, leo unatuletea siasa uchwara hapa
 
Duh!! buku 7 Jero za Lumumba zimejazana kiukweli. Duh!post za kushinikizwa Hizi zitawatoa Roho !!!!!
 
...full respect cdm na ukawa,full respect wabunge wa bunge maalum la katiba kambi ya ukawa,shambulio lenu moja tu limewavuruga maccm na hawajielewi mpaka sasa....
 
Back
Top Bottom