Nicole Tumaini
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 122
- 24
walilalamikia wapi mkuu hao cdm ??????????????????????????!1wakati wliotumbuliwa 99.999 niMimi ninawashangaa sana wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wao pamoja na Mwenyekiti wa Freeman Mbowe wamekua wakilalamika sana kua Serikali inaongozwa kama kichwa cha mwenda wazimu kwa sababu Wakurugenzi wa mashirika mbalimbali wametimuliwa na kuyaacha mashirika hayo kutokua na Wakurugenzi. Ila kikubwa jiulize, mbona wao wamekaa miezi 8 sasa hawana hata katibu mkuu? wao hawaoni kuwa hili ni tatizo kwa ustawi wa chama? au ndio yale ya nyani haoni kundule? Je ni kwamba hakuna anaefaaa kuwa Katibu mkuu?
My take: Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ili uone kibazi ndani ya jicho la mwenzako.
Tatizo weqwe huwa unakaa unahadithiwa mambo ndio maanawalilalamikia wapi mkuu hao cdm ??????????????????????????!1wakati wliotumbuliwa 99.999 ni View attachment 328139
sasa cdm walalamike au wanaolalamika wake na watoto na vimada wa waliotumbuliwa ambao ni ccm karibu wooote
nahadithiwa na nani ndugu......... sina nafasi hata ya dk 5 kukaa kwenye magenge ya aina yoyote zaidi ya kuwa online hapaTatizo weqwe huwa unakaa unahadithiwa mambo ndio maana
Alikuwa fisadi na ndiyo maana tukapiga teke, tupa kule!
Alikuwa fisadi na ndiyo maana tukapiga teke, tupa kule!
Wenzenu wanakunywga wikendi wewe utatumia katikati ya wiki, haya ndo madhara yakeChadema ipoipo tu
Nikama Meli inayo Elea baharini kiasha MTU anaitoboa kitundu Fulani
INA kwenda ikiwa inazama.
CDM wanamtegemea Mbowe Akili ndogo iongoze Akili kubwa
Hahaha
Atakuwa usajili mpya.Mleta mada nawe kichwa cha mwenda wazimu tu, huna tofauti Na maandishi yako
Inawezekana mkuu, Msambaa kaongeza vijana wa kaziAtakuwa usajili mpya.
Alikuwa ndio maana alikatwa
ahahahaha sasa kwanini hayuko jail wala hafagii barabara wala hospital km wenziwe na alifanya magumashi chini ya nani kwanini hamuoni naye anahusikaAlikuwa ndio maana alikatwa
Inawezekana mkuu, Msambaa kaongeza vijana wa kazi