CHADEMA ni kiboko ya CCM

CHADEMA ni kiboko ya CCM

da cijui ni kwa nini vijana wanashabikia ccm, nasema kikwetwe angeongoza tena miaka 5 ijao Tanzania ingekua nchi ya ajabu na masikini zaidi duniani
 
Ilitakiwa uandike ACT inawanyima usingizi chadema, kila wakilala wanaiwaza ACT kuliko saccos yao. ACT mwendo mdundo

Hahaaaa uwwiii ACT ndio hao mchepuo wa ccm kweli umevurugwa nyie tulieni msubiri vipimo hakuna rangi hamtaiona.
 
Kamanda unaweza kunipa matokea ya Kelenga na Chalinze kuna mtu kaniomba mimi sina.

Eti matokeo ya udiwani Arusha ilikuwaje kuna mwanaccm mwenzangu hapa ananiuliza mimi nimesahau.
 
da cijui ni kwa nini vijana wanashabikia ccm, nasema kikwetwe angeongoza tena miaka 5 ijao Tanzania ingekua nchi ya ajabu na masikini zaidi duniani
Mkuu wanaganga njaa huko lakini wao wanajua fika kuwa ccm ni afadhali ya jini lina huruma sio ccm
 
Kuna jamaa nilisoma nae "O leve" anaitwa BUJASH kila mtihani alikuwa anakuwa wa mwisho. Necta akapiga O.
Kwahiyo tukusaidie nini? Isitoshe majina yanatumika na watu wengi mfano John au Hamad hapa Tanzania ni wengi sana. Hivyo hoja yako haina mashiko wala mvuto na inaonyesha wewe ndio ulizungusha ndio maana huna akili unashabikia chama cha kihafidhina na ugaidi. Very idiot
 
Unadhani ni kwanini ccm inapendwa mahali pasipokuwa na maendeleo ?
Ni kuwa sehemu isiyo na maendeleo wanaipenda ccm kwa sababu kichwani hakuna kitu ndio maana panakuwa hapana maendeleo. Ritz nimekusaidia kujibu najua hutaweza kujibu vizuri
 
CDM forever!

To hell with chama cha mashetani (ccm); and their counter-part act-tanzania.
 
da cijui ni kwa nini vijana wanashabikia ccm, nasema kikwetwe angeongoza tena miaka 5 ijao Tanzania ingekua nchi ya ajabu na masikini zaidi duniani

usiseme vijana tu , sema watoto wa viongozi .
 
Back
Top Bottom