Chadema ni kama timu ya mpira.......

Huyu Jamaa aliye uchi na mwenye ngozi kama nguruwe anatakiwa kufungiwa (Ban) maana anachochangia humu hakiendani na habari yenyewe iliyowekwa mezani
Ebu niambie nimevunja kanuni na sheria za JF, zipi au jukwaa la siasa wanaotakiwa kuchangia ni Pro-Chadema tu? mbona kuna kauli nyingi zinatolewa sijawahi kukuona umeongea chochote? mfano juzi na jana kulikuwa na thread JK kamteuwa muislam mwenzake Pro-Chadema-JF, wamechangia udini tena kwa kejeli ulikuwa wapi kukumea au kwa sababu yale maneno yalikuwa yanakupendeza? mwambie Mods basi yoyote atakae pingana na Chadema apigwe BAN
 

Habari ndio hiyo , usimamshe aliyelala utalala wewe. CDM sasa moto chini.😛ound:
 
Jamani hizo topic za Udini naomba Muelewe ni Sera Za CCM kurudisha Imani au kuvuruga Upinzani.
Ndugu zangu bila kujali kabila kumbuka Former IGP mahita alitoa taarifa rasmi on TV na Radio kwamba
wameshia contena la visu na Jambia lililoingizwa na CUF na CCm wakaanza kwamba CUF ni chama cha kigaidi
hivyo msikichague.

Sasa miaka 15 Slaa alikuwa mbunge na suala la udini halikuwepo pale bungeni, wakalemewa uchaguzi CCM
wakaanza tena aemtumwa na Kanisa mbona tulimchagua Kikwete kwa tumaini kubwa tu na hatukumpa kura Mbowe
2005. Hapa Ilikuwaje suala la Kanisa au msikiti.

Tuache hizi siasa za kugawanyika, tujenge nchi pamoja, hata leo Lipumba angekuwa na mvuto wa Slaa tungemchagua.
Kuweni makini sana. Kumbuka wakati atatangazwa JK alikiri kwamba kistyle Siasa za udini tumezianzisha na zitatugarimu.
Fuatilia vizuri hizi ni sera za CCm kudhoofidha CDM ila hakuna lolote pale.

Nawakilisha
 
Endelea tu kuota ndoto za mchana ! hii nchi haichukuliwi kwa maandamano au wingi wa watu mikutanoni, ni zaidi ya ufikiriavyo

Muasisi alishasema kuwa CCM si mama yake mzazi ................... LAKINI TOFAUTI NA WEWE................ HATA WAKUFANYIE MABAYA GANI BADO UNANG'ANG'ANA NAO..............
 
Na mimi nashangaa sana kuona chama cha msimu, kimewezaje kukilazimisha chama cha kudumu kujichuna ngozi a.k.a gamba.
.
 
Nchi ipo mikononi mwetu chadema.............
 

Mkuu umesema vyema ila hapo kwenye RED hilo chama ungesema BARCElLONA
 
Chadema noma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.........................
 
Na mimi nashangaa sana kuona chama cha msimu, kimewezaje kukilazimisha chama cha kudumu kujichuna ngozi a.k.a gamba.
.
Kukiangusha CHAMA kikongwe ni either KUWA-WIN WANACHAMA WAKE AU KUWEKA HADHARANI MAOVU YAKE
 
Chadema for presidency in 2012 ellection (Kwa hali hii uchaguzi ni siku yeote kuanzia sasa)
 

. Mizengo Pinda
Bernard Membe
. Edward Lowassa
Andrew Chenge

jk
bilal
.SheinSeif
uongozi hautegemei kuwa mtu anatoka dini gani. tuache kuwatambua watu kwa dini zao bali kwa matendo yao . viongozi wote waliotatwa hapo juu wana dini zao ambazo kwazo hazitusfanyi tuwaone wabaya kwa sababu tu ni wa imani fulani. tuzipambanue sifa na kasoro za viongozi nje ya mstari wa imani za dini zao if we look foward to make a better future for the present and coming generation. i like both good christians and muslims.
 
Fmpiganaji wala aoti kama unavyofikiri, 2015 hata TISS hawataweza kuchakachua kama wanapenda kuona amani ya nchi hii inaendelea kuwepo, na wakichakachua yatatokea ya Kenya na itakuwa wananchi against CCM.

tunaanzia na wenyeviti vitongoji mwakani kama sikosei baada ya hapo tunaongoza serikali shina
 
Umemsahau beki two(Mdee) ila hujui kuwa Kanisa ni Moja,Takatifu,Katoliki na ni la Mitume wakati Chadema ni Nguvu ya Umma! Ondoa udini wako ka vp nenda Nigeria!
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na Kanisa
 
hapo sema MANCHESTER UNITED au YANGA...CHADEMA ALPHA NA OMEGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…