assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
haa haa mkuu wingereza ndo nini?
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.
Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.
mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.
chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
Kwanini Tumaini Makene???Binti yangu assadsyria3 ,leo ungekuwa ajabu la dunia kama usingemtaja Mbowe. Tumaini Makene nitafutie appointment na Mbowe nikaongee naye kuhusu huyu binti.
Mzee Tupatupa
jiulize ccm ina umri gani tofauti na chadema ili kujenga hoja yako .katika africa ccm ni chama kikongwe kama kanu ,ya kenya ,na vingine vilivyosalia ambavyo strategicaly vinatakiwa viwe vimeondoka ili kuleta mawazo mapya kwa kizazi hiki.vyama hivi vingi vimeacha mfumo wake au tuite njia ,ccm ilikuwa ya ujamaa na kujitegemea ,hivi sasa haijulikani ni mfumo upi unawaongoza hii inasababisha ombwe kubwa la utawala .mtawala anakuwa na dira inayomuongoza kikatiba ,mfumo anaoongoza unatekeleza ubepari katiba anayosimamia ni ujamaa na kujitegemea .hapa utaona iko shida .CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.
Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.
mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.
chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.
Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.
mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.
chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
mkuu ushaoonaga mtu mzima akipigana na maiti lazima utakua chiziSignature yako ndio imenifanya nikuone huna mtizamo sahihi, maana wewe unahangaika na wana chadema huku magamba na makundi mengine yanayounga ukawa hujayaainisha. kweli nyie mmekuja kupambana na chadema ...Mmetumwa mkatumika
tufunulie ukweli duhKachama ka Kigoma , ona meza kuu hata waomba dua wote lazima watoke Kigoma ? hapo yuko Askofu Mpango waKigoma na Jaffary Kasisiko wa Kigoma ......futeni na hii
CHADEMA ukiiandalia(ukiiangalia) kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia (hapa umeongea kama brother K wa the commedy ya FUTUHI) kifalsafa utagundua.
Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza (uingereza) sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.
mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia(???) kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.
chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.(institutionalized)