CHADEMA ni jeshi la mtu mmoja, not institutionalised

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
 
Umekunywa Chimpumu au kinywaji gani ? mbona harufu mbaya sana hapa Jukwaani hasa kwenye thread yako.
 
UKAWA mmeshamaliza kazi - kilichobakia ni sisi wananchi tu kujiandaa kisaikolojia mwezi October!!
 
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

Ohhh wameshapagawa hawa. ccm wanatumia advantage ya umbumbumbu na ujinga wa watu kuto kujitambua. watu hao masikini lakini bado wanawachangisha pesa eti ya kujenga maabara na wao wanakubali wakati wenyewe wanatembelea mashangingi ya bei mbaya. wanawadanganya wananchi wamefuta ada wakati wamebadilisha jina na kuita michango ya shule. itafika wakati hao masikini mnao wakandamiza hawatawataka tena. mtakufa kifo kama cha kanu kule kenya.
 
Wakuu hivi ACT imeshafutwa na msajili wa vyama vya siasa?
 
DSC_2146.jpg
gerald%2Bmpango.JPG
DSC_2108.JPG
Zitto%2BKabwe-ACT%2BLEADER2.jpg
 
"assadsyria3;12696237]CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia "kifalsafa" utagundua"

Hahahaha; thread nyingine bhana!! Obvious itategemea kama hilo somo la "Kifalsafa" ulilisomea wapi?! kama ni shule za kata; Accredited university au Seminari kuu; na kama huko darasani ulikuwa unahudhuria tu au ulielimika kifalsafa na falsafa yenyewe inahusu nini hasa?! kama ni elimu ya falsafa ya kupiga ramli; huko mimi sio Authority; Umeshinda mkuu!!??

Ma bro; wacha hizo lecture za kukaririshwa; jifunze kitu kinaitwa the doctrine of Originality of thinking and objective analysis; kifupi DOT & OA; No research; No right to open your bloody mandibles! Chama kinakua na kuongeza wenyeviti wa mitaa na vijiji; madiwani na wabunge kila chaguzi tangu mwaka 2000; wewe unajaribu kutwambia kitu gani?! mkuu usifanye kupost thread hapa kuwa hobby au kitu cha kupotezea muda wako idle! Bs
 
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
jiulize ccm ina umri gani tofauti na chadema ili kujenga hoja yako .katika africa ccm ni chama kikongwe kama kanu ,ya kenya ,na vingine vilivyosalia ambavyo strategicaly vinatakiwa viwe vimeondoka ili kuleta mawazo mapya kwa kizazi hiki.vyama hivi vingi vimeacha mfumo wake au tuite njia ,ccm ilikuwa ya ujamaa na kujitegemea ,hivi sasa haijulikani ni mfumo upi unawaongoza hii inasababisha ombwe kubwa la utawala .mtawala anakuwa na dira inayomuongoza kikatiba ,mfumo anaoongoza unatekeleza ubepari katiba anayosimamia ni ujamaa na kujitegemea .hapa utaona iko shida .
 
Signature yako ndio imenifanya nikuone huna mtizamo sahihi, maana wewe unahangaika na wana chadema huku magamba na makundi mengine yanayounga ukawa hujayaainisha. kweli nyie mmekuja kupambana na chadema ...Mmetumwa mkatumika
 
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

Uchambuzi wako sio sahihi, CCM ilikuwa chama dola, kilailichonacho kilitokana na watanzania wote, hazina ya taifa etc. Mpaka hapa walipofika CDM ni wapiganaji wa kweli!
 
Signature yako ndio imenifanya nikuone huna mtizamo sahihi, maana wewe unahangaika na wana chadema huku magamba na makundi mengine yanayounga ukawa hujayaainisha. kweli nyie mmekuja kupambana na chadema ...Mmetumwa mkatumika
mkuu ushaoonaga mtu mzima akipigana na maiti lazima utakua chizi
 
CHADEMA ukiiandalia(ukiiangalia) kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia (hapa umeongea kama brother K wa the commedy ya FUTUHI) kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza (uingereza) sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.

chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia(???) kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.(institutionalized)

Mkuu unakuwaga unapelekewa moto au unakuwaga unapeleka. Either kuna kitu kinakuwa behind you au unakuwa behind something.
 
Back
Top Bottom