CHADEMA ni chuo cha siasa

CHADEMA ni chuo cha siasa

Daudi Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
327
Reaction score
204
CHADEMA is a political academy:
Imewapika wanasiasa wakaiva, CCM wakawachukua.

Tunashuhudia matunda ya kazi ya CHADEMA, imefikia sasa CCM badala ya kuandaa wanasiasa wake wanasubiri CHADEMA wawapike waive, halafu wao wanavuna.

Is a good strategy kwa CCM, no need of much investment in academy

Sasa wale wa CCM mliodhani hizo nafasi za uteuzi zingewahusu nendeni mkafunzwe siasa CHADEMA, mkipikika mtachukuliwa tu na CCM mbona😀
 
Aisee kumbe kutukana wapinzani kunalipa awamu hii. Tunasubiri kundi lingine, maana hili la kwanza limeshaula.
 
Ila wanakuwa na ilani ya Ccm Wakishachukuliwa
 
Habarini wadau... Tumeshuhudia wimbi la uteuzi wa vijana wengi waliotoka CHADEMA katika nyadhifa nyeti huku CCM ikiwa na vijana wengi zaidi wasio onekana.
Tafsiri yake ni kwamba CHADEMA wana uwezo mzuri wa kuzalisha viongozi bora kuliko CCM?
Nadhani niwakati muafaka kwa vijana wa CCM kujitafakari upya na kujirekebisha vinginevyo tutahamia wote huko kuja kuwaongoza.

Moderator huu ni uzi huru na haufanani na nyuzi nyingine.
 
Eidha baki Chadema upigwe na baridi au hamia CCM uje uonyeshe kipaji cha uongozi.
 
Wa ccm ndo hawa wa mitandaoni,kazi yao kutukana na kupinga na kulipwa buku 7,mkuu akitaka viongozi bora ananunua CHADEMA
 
chadema ndyo kuna vipaji wazuri ya uongoz tofouti na ccm wao wamebobea kwnye rushwa uwongo uwongo nawalamba viatu.ndyo mana bwana mkubwa kaamua kuwatema ili afanye kazi na waewelewa
 
Chama cha Siasa kina lengo moja tu-nalo ni Kupata madaraka. Swali je makada wa CDM kununuliwa na CCM kunaisaidia CDM kushika madaraka? Kama hili halisaidii ina maana CDM inadhoofishwa (kiuwezo na kimuonekano) na CCM. Hivyo CCM wanauwa ndege wawili kwa jiwe moja (1) wanawapata hao tunaosema "wameiva" na (2) wanaivuruga na kuidhoofisha CDM. Kuendana na hili CCM wengi wameanza kuimba wimbo wa MBOWE aondolewe na hili linaweza kuleta sintofahamu ndani ya CDM kama hawakuwa makini.

Upinzani dhaifu au bila upinzani CCM watafanya yale yale yaliyomfanya kiongozi wao aseme CCM inahitaji upinzani na tutaendeshwa kama tairi bovu. Watatafuna nchi kama hawana akili nzuri.
 
We una utani kweli, hawa viongozi wakubwa wa CCM wanaowatawala huko sasa mliwafundisha nyinyi siasa?
 
Chama cha Siasa kina lengo moja tu-nalo ni Kupata madaraka. Swali je makada wa CDM kununuliwa na CCM kunaisaidia CDM kushika madaraka? Kama hili halisaidii ina maana CDM inadhoofishwa (kiuwezo na kimuonekano) na CCM. Hivyo CCM wanauwa ndege wawili kwa jiwe moja (1) wanawapata hao tunaosema "wameiva" na (2) wanaivuruga na kuidhoofisha CDM. Kuendana na hili CCM wengi wameanza kuimba wimbo wa MBOWE aondolewe na hili linaweza kuleta sintofahamu ndani ya CDM kama hawakuwa makini.

Upinzani dhaifu au bila upinzani CCM watafanya yale yale yaliyomfanya kiongozi wao aseme CCM inahitaji upinzani na tutaendeshwa kama tairi bovu. Watatafuna nchi kama hawana akili nzuri.
Na ndicho kinafuata,wakishapata idadi wanayoitaka ni katiba kurekebishwa hadi miaka saba ya uchaguz badala ya mitano na hatimae wataondoa ukomo wa uraisi na hapo ndiyo umilele uliotamkwa utatimia. Hakutamka bahati mbaya. Hili gulio lina malengo ya mbali sana. ILA UPINZANI UKIFA TUTASAGA MENO WATANZANIA. Hizi shangwe na ushabiki ni za muda tu.muda si mrefu tutaongea lugha moja.
 
Kama machali wanampa ukuu wa wilaya, Shonza - unaibu waziri siku wakimpata Lissu watampa uwaziri mkuu au urais kabisa! Ccm wanajua upinzani kuna watu makini sana ila kiburi tu!
 
Kama machali wanampa ukuu wa wilaya, Shonza - unaibu waziri siku wakimpata Lissu watampa uwaziri mkuu au urais kabisa! Ccm wanajua upinzani kuna watu makini sana ila kiburi tu!
hiki ni kilio cha samak
 
Back
Top Bottom