Ni bora hao wanaogonga meza kuliko wahuni ,udhaifu wenu mmeshindwa hata kujua taratibu na ustaarabu wa bunge.Mnazungumza kama mupo sokoni ,mi nawashangaa sana ,na mkielekezwa mnakuwa wabishi ,utafikiri jamaa yupo gengeni anapatana bei ya muogo.rais kikwete na bunge la wagonga meza ndio dhaifu
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
[/QUOTE]​naenda kuchunga mbuzi naona wana faida kwangu kuliko wewe ****[QUOTE=Mwiba;4193054]We wacha waondoe ,mbona tumeshazoea ,Nyie CDM mnaona kama mmeiteka JF lakini nionavyo naona mmetekwa tena mmepandishwa mkenge !
Chadema wacheni kujiunganisha na migomo ya madaktari na walimu ,udhaifu wenu wa kukubalika mnawaharibia na kuwachafulia wengine.
Madaktari na walimu na taasisi zingine msikubali CDM iwemo katika kudai mambo yenu ,waogopeni na kuwatenga kama wenye marazi ya ukoma.
hoja dhaifu kama ulivyodhaifu, unaweza kuthibitisha kauli yako??au unaropoka tu kama mwigulu ndugu yako!! Kila siku mnaanzisha wimbo mpya oooh! CDM chama cha kikabila, udini, ukanda, undugu sijui wameleta makomandoo, wanataka kuleta vita, leo tena mnaunganisha na migomo wa madaktari'' yatawashinda yote kwakuwa 'ni upepo tu unapita'.
Kumbe Mbowe alirudisha shangingi kwa kuwa lilikuwa linatumiwa na Hamad Rashid, yeye alitaka jipya. Akaone atumie mwanya kulirudisha kisiasa, lilivyotoka jipya tu akawahi mbiombio. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.
Hana shida ya magari huyo weye!! pochi lake binafsi linatosha kukulisha wewe kwa miaka ya vitukuu vyako duniani pambaf!!Kumbe Mbowe alirudisha shangingi kwa kuwa lilikuwa linatumiwa na Hamad Rashid, yeye alitaka jipya. Akaone atumie mwanya kulirudisha kisiasa, lilivyotoka jipya tu akawahi mbiombio. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.
Hana shida ya magari huyo weye!! pochi lake binafsi linatosha kukulisha wewe kwa miaka ya vitukuu vyako duniani pambaf!!
Wewe JF sio mali ya Chadema usiwapangie watu vitu vya kujadili kama thread imekushinda kaa pembeni waachie members wengine wachangie.
Hivi thread bila kuiandika CHADEMA haiwezi kusomwa hapa jf. Kweli nimeamini maisha bila CDM hayawezi kuwepo. Hivi mioyo yenu haidundi bila CHADEMA?
nahisi unawashwa mbona usemi mambo ya epa?Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.