Chadema ni chama dhaifu

Chadema ni chama dhaifu

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
 
Kumbe Mbowe alirudisha shangingi kwa kuwa lilikuwa linatumiwa na Hamad Rashid, yeye alitaka jipya. Akaone atumie mwanya kulirudisha kisiasa, lilivyotoka jipya tu akawahi mbiombio. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Subiri 2015 utaona udhaifu wake, JK na Pinda watakapofika the Hague.
 
Umeanzisha uzi ili kupima upepo!

Jk na ccm yake ndio dhaifu na wala huitaji kuwa na phd ndio ujue hilo muulize hata mtoto wa darasa la pili atakwambia!

Hilli neno dhaifu linawatafuna sana wanazi wa nyinyiemu:

poleni sana jk na ccm nidhaifu- ukweli ni uhuru.
 
jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments

rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani
 
hivyo nasema mwiba, zomba ... endeleza kasi

Rejeo , ritz ms ff & co karibuni muwanange CHADEMA
 
jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments

rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani

Wewe JF sio mali ya Chadema usiwapangie watu vitu vya kujadili kama thread imekushinda kaa pembeni waachie members wengine wachangie.
 
We wacha waondoe ,mbona tumeshazoea ,Nyie CDM mnaona kama mmeiteka JF lakini nionavyo naona mmetekwa tena mmepandishwa mkenge !
 
Wewe JF sio mali ya Chadema usiwapangie watu vitu vya kujadili kama thread imekushinda kaa pembeni waachie members wengine wachangie.
safi sana hii ndiyo niliyo itaka angalau mupumue leo

eti wajadili kuna la kujadili hapo
 
We wacha waondoe ,mbona tumeshazoea ,Nyie CDM mnaona kama mmeiteka JF lakini nionavyo naona mmetekwa tena mmepandishwa mkenge !
ukitaka mapro wenzako waje wakusaidie kuinanga CHADEMA wapigie tu

kazi mnayo tena kubwa
 
Mwiba aka dhaifu jana ulikula nini inaelekea hujalala kwa kuvimbiwa eeh
 
Mwiba aka dhaifu jana ulikula nini inaelekea hujalala kwa kuvimbiwa eeh

Lilipita kundi la Chadema hapa nilifikiri mgambo wamekosea njia ,wakisema kuwa watu wameanza kuwashitukia ! Kwa kweli sikujua jambo gani kwani spidi yao ilikuwa kali.
 
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
mlitegemea CHADEMA ni sawa CUF au NCCR

tafasiri signature yangu ukishindwa nitakujulisha tu maana kubwabwaja huku chanzo chake ni " expectation Vs outcome "

mtakoma tu mwaka huu na mtasema mengi sana ili 2015 mfe salama
 
yawezekana ndiye zomba maana leo shughuri za bunge hazipo
puppets wa JKilaza hawa, wananjaribu kujilisha upepo kwa CDM ni dhaifu wakati wakijua kuwa wapo too sow to cope with the pace of CDM, nchi imewashinda , maisha yamekuwa magumu , wananchi wamewachoka, makundi ya wasomi yameanzisha vugu vugu la kugoma , muda si mrefu wananchi wa makundi mengine pia wata riot kwa kukosa huduma , na hawata walaumu madaktari kwani wananchi wana mkataba na serikali, wakati serikali ndo yenye mkataba na ma proffesianla iliyowaajiri na kushindwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya kazi
 
Back
Top Bottom