Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,382
Vipi nyie CCM, hela za kuhonga vitenge na mashati, na pikipiki mnapata wapi?Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Usitoe kama ambavyo hutoi kwenye dhehebu lako kama unaloKila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Kama serekali inakusanya kodi na inaombaomba kwa wazungu, nini cdm?Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Na kama ufisadi Kila mwaka CAG anauweka hadharani, tume zinaundwa nyuma ya mikamera tena hadharani lakini majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, mwaka unao fuata ufisadi unaendelea kuwepo tu, mna mchosha CAG, kikikikiKama serekali inakusanya kodi na inaombaomba kwa wazungu, nini cdm?
Kumbe CCM wanahusika kwenye huo ufisadi kwasababu tume zinaundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, ( majibu hakuna)CCM ndio inayonyonya Watanzania kwa tozo na kodi kandamizi halafu hiyo pesa nyingi inapigwa hata CAG aliongelea upotevu matrilion ya fedha za wananchi.
Anayechangia hajashurutishwa, hajalazimishwa!Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Kama TANU tu wakati wa kudai uhuru wananchi walichangia Sana...Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Kutoa ni moyo, hata kuhoji tuliandaliwa kuto kuhoji tena tatizo la kukataliwa kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji uliambiwa/utaambiwa kama umekua uondokeKwakuwa watoaji wapo, acha watoe. Huenda hata hizo wanazotoa hawakuzipata kihalali.
Unawezaje kwa mfano kuchangia watu maelfu toka mikoa mbalimbali Eti waende Kisutu kusikiliza Kesi ya Lissu? Hapo Kisutu ni uwanja wa Taifa? Una agenda gani nyuma yake?
Uzuri intelligencia ya Polisi haijalala.