Mkuu mbona unatia aibu? Wewe njoo huku 'kwetu' CCM utapata kila kitu na mambo yako yatanyooka. Te he te he!Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Uamuzi wa kujiunga CHAMA cha siasa ni maisha, kama yalivyo maisha mengine.
Mfano, kwenye ndoa au ata mahusiano ya kawaida uwa kila mmoja anakuwa na zoezi la kumjua mwenzie. Kwani wasifu (c.v) si muhimu wakati wa kumuajiri mfanyakazi?
Profile ya vyama na waasisi wao ni miongoni mwavigezo muhimu katika kuwapata wanachama.
Mimi tu kuulizia ni nani wako nyuma ya pazia la CDM, reaction inakuwa negative...jamani!
Negative response haiwezi kunipelekea kufanya maamuzi. Niambieni ni nani wako nyuma ya pazia la CDM.