This is Craap!Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka cn kutokana na mikutano ya CDM inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .
TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
Ndio safi ilimpitishe hilo bajeti lenu la kijinga bila kigingiToka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka cn kutokana na mikutano ya CDM inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .
TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .
TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
wakuu salaam,nimejaribu kufuatilia bunge ila naona kama wabunge wa chadema hawapo mjengoni
hii imekaaje?
wewe unaishi sayari ya mars au sayari ya dunia?
hata shibuda hujamwona?wakuu salaam,nimejaribu kufuatilia bunge ila naona kama wabunge wa chadema hawapo mjengoni
hii imekaaje?
kaka unafikiri chadema wana roho ya ukatili kiasi hicho????? watu walio uawa ar ni watu wao na waliuawa wakiwa katika shuhuli inayo wahusu chadema kuendelea na bunge ni sawa na kudharau maafa yaliyo tokea na kuto jali utu na raia, sababu walio kufa ni binadamu na sio mbwa ndugu yangu uwe unatafakari kwanza kabla hujaamua kujibu hoja pamoja na kwamba walio kufa si wana ccm wenzio lakini kumbuka ni binadamu wennzio, ushabiki wa siasa usikufanye ukose hata chembe ya utu kidogo mkuu kkwani kuna siku hata kwako litatoke kwani huijui kesho yako ndugu yangu.Eti muwape nchi watu wasioweza kukabiliana na changamoto wataweza? Maana wao kila siku eti wanaonewa tuu na hawaishi kuzirazira hv ni chama cha upinzani kweli hiki? Wangeweza tuu kutuma wawakilishi huko Arusha na wengine wangebaki kutoa michango yao bungeni na shughuli zingine, lkn kwa kuwa mtaji wao ni matukio wameganda huko na kususia bunge ili waonekane wanahuruma na wananchi na mm nachelea kusema kuwa wanafanya kampeni kwa kiporo cha uchaguzi wa udiwani kilichoahirishwa chini chini.
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .
TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
This is Craap!
Unaishi wapi Broda...mbona mnashindwa kutumia vizuri jukwaa kwa kuleta mabo ya msingi, instead unaonyesha wazi mwanaume unayemtumikia humu jamvini?....why?