CHADEMA ndo wamesusia shughuli za bunge?

CHADEMA ndo wamesusia shughuli za bunge?

CHADEMA ni wauaji.

Jana nilikuwa nyumbani Old Moshi, Kilimanjaro kwenye mazishi. Wananchi wa pale kijijini kwangu wanalaumu sana mauaji yanayoendelea kufanywa na CHADEMA.

Acha uzushi nikikuwepo kwenye huo msiba usipotoshe watu hapa kusaka umaarufu.... Mumeo anakusubiri kitandani kalale
 
Acha uzushi nikikuwepo kwenye huo msiba usipotoshe watu hapa kusaka umaarufu.... Mumeo anakusubiri kitandani kalale

Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi tusikie
Kama huendi nasi,
Hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu, enda nasi


Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako turehemu
Tusafishe ee Baba,
Tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako enda nasi


Tutavua mapambo yetu,
Vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi.


Tunaomba utuonyeshe njia zako,
Kwa maana umetuita kwa jina lako,
Twalilia eeh Bwana,
Utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa enda nasi.
 
Wabunge waote wa chadema hawakuingia kwenye mjadala wa bajeti kuijadili na kutoa maoni yao, hivi ndiyo kusema wao hawakuona umuhim wa kazi hii nyeti kikatiba? wananchi wanaowakilishwa na wabunge wa chama hiki wadai haki yao ya kikatiba ya kuwakilishwa?
 
Au mpaka dr slaa apige simu ; not reachable . Subiri simu ya mkuu ili hawaruhusu naona yupo busy na mama mshumbusi
 
P.......vu, wali waliokwepo walichangia nini? Tena nasema p........vu kabsa
 
Ndiyo tumesusa

"To know the enemy is half the victory"
 
CHADEMA ni wauaji.

Jana nilikuwa nyumbani Old Moshi, Kilimanjaro kwenye mazishi. Wananchi wa pale kijijini kwangu wanalaumu sana mauaji yanayoendelea kufanywa na CHADEMA.

utakuwa mnafiki moshi hakuna wajinga kama unavyotaka kutuaminisha ila kutokana na upumbavu wako unadhami utaweza kutuaminisha hivyo
 
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .

TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
Kweli nmeamini tajiri basi lake likipata ajali hawezi kuulizia kama watu wamepona na matokeo yake anauliza basi lake limepona au la... Magamba hayathamini wana Arusha kabisa... Mna laana ninyi!!
 
Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi tusikie
Kama huendi nasi,
Hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu, enda nasi


Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako turehemu
Tusafishe ee Baba,
Tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako enda nasi


Tutavua mapambo yetu,
Vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi.


Tunaomba utuonyeshe njia zako,
Kwa maana umetuita kwa jina lako,
Twalilia eeh Bwana,
Utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa enda nasi.

Hakika BWANA wa majeshi atawarehem ccmagamba. Nasi pia. AMINA
 
Back
Top Bottom