Chadema ndio chama cha upinzani

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Toka bunge limeanza tumeshaona jinsi ambavyo chadema wanapigwa vijembe na vyama vyote kuanzia ccm mpaka vyama vingine, hapo ndo unaona kabisa hao ndio wapinzani wa kweli ukiona wengine wanapigiwa makofi ujue hao sio wapinzani wa kweli.
nawakilisha.
 
Uko sawa na hilo litathibitika kwenye Bunge hili. Mpaka liishe kitakuwa kimeeleweka
 
Hili halina ubishi, ushadi ni jinsi vyama vyote kushirikiana na CCM kuishambulia CDM, ila wajue kuwa wamejimaliza kwani wananchi ndiyo mahakimu katika hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom