its a good move kwa wana Njombe, wanatakiwa kuhabarishwa sana habari za mabadiliko na CDm generally, unafahamu kuna watu kule wanasikia raha/fahari tu kuwa na Spika kutoka jimbo lao bila kuangalia beyond wananufaika vp na uspika huo, Cdm kazeni boot. mwisho wa siku itakuwa kama kumsukuma mlevi vile