Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua ofisi ya chama na kuhutubia kwa dk 25 watu walikuwa wengi sana na hakuweza kumaliza kiu yao