Chadema nayo yahusika na mauaji !!!

ms ameshindikana kila leo anakuja na mpya mtafuta mpaka kesho, yeye ni killer hivyo ana maana aungane na police TZ kukil
 
thanx Killa for this useful post...I should hard code this thanks.

Eeeh, kama kawaida yenu wafata bendera wa Chadema, hampo objective kupinga hoja aliyotoa Tendwa, kazi kusema katumwa tu...well said!
It is clear kuwa mnatumiwa na wanasiasa bila kujua, wao wanahudhuria vikao, wanakubaliana, then hawaji kuwaambia ukweli . Hiki chama si makini, ni uchu wa madaraka tu. Hata kama sisiem wanakosea, ila CDM is not the right SUB either.
Inawezekana mkawa hamsomi hoja na kuzielewa, ngoja nimege kipande kidogo tu ili msome wavivu nyinyi:
“nadhani chadema hawako wazi katika hili, kwani uhalali wa mary chatanda lilishatolewa ufafanuzi na katibu wa bunge. Sheria iko wazi na ilifafanuliwa na katibu wa bunge baada ya madiwani wa pande zote mbili kuonyesha utata walipokuwa katika kikao cha kwanza cha uchaguzi wa meya, ambapo vyama vyote viwili vilikuwa vikilalamikia ushiriki wa mjumbe mmoja mmoja kutoka kila chama”.

Anasema ufafanuzi walioupata juu ya uhalali wa wabunge hao wa viti maalum waliokuwa wakilalamikiwa na vyama vyote viwili ni kwamba, sheria inawatambua wabunge kama madiwani wa sehemu wanazotoka na inaendelea kufafanua chama kinachowakilishwa na mbunge wa viti maalum, kitakuwa na haki ya kumpangia kazi sehemu yoyote isipokuwa hataruhusiwa kufanya kazi katika eneo lingine.

Anasema baada ya ufafanuzi huo utata wa suala la uwakilishi wa mbunge huyo wa viti maalum ukawa umemalizika na kwamba haelewi sababu za chadema kususa kuendelea na uchaguzi wa meya na kushangazwa na chama hicho kukwepa kueleza wafuasi wake suala hilo huku ikiendelea kushikilia msimamo wa kutomtambua mbunge huyo wa viti maalum wa ccm.

Uhalali wa uchaguzi wa meya
msajili anasema, baada ya kususia uchaguzi uliofanywa bila chadema kushiriki vyama hivyo viwili vinavyohusika katika suala hilo vilipaswa kuzungumza ili kupatikana kwa suluhu na kwamba yeye alikubali kuwa msuluhishi, lakini anasema hajui sababu ya chadema kuamua kuitisha maandamano kabla ya kumalizika kwa mazungumzo ambayo anasema anaamini yangeweza kuleta suluhu na kujenga amani miongoni mwao.

Anasema jambo moja ambalo haliko wazi na ambalo angependa chadema wakaliweka bayana ni kueleza wazi agenda yao, na nini wanachokitaka au wanachokusudia badala ya kufanya mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yanaweza kuhatarisha amani na kupunguza imani ya wananchi dhidi ya chama hicho.

”haijulikani hasa wanataka nini, maana kama ni kweli ilikuwa uhalali wa mary chatanda walishasomewa sheria na wakaelewa. Awali walizungumzia suala la kutaka katiba, kila mtu aliunga mimi nimeunga mkono nimetoa maoni yangu, waziri mkuu naye kasema, na mwisho rais ameridhia, sasa waeleze wanataka nini ili madai yao yawe wazi na yaeleweke,”

Semeni mnataka nini tuwaelewe....!
 
ms ameshindikana kila leo anakuja na mpya mtafuta mpaka kesho, yeye ni killer hivyo ana maana aungane na police TZ kukil

Anakosa gani Killer for this post? kama mod alim-ban MS for that reason then JamiiForum ipo Bias...inataka ushabikie chadema tu, ukiandika kinyume kila mtu atakutukana na wala hawafungiwi...kaz kweli kweli.
 
Mshikaji mbona unauza data zangu, yeah killa is me, you got problem with that ShakaMbulu?
You wanna know my political affiliation? I'm independent,that means I'm no gonna sell my soul to nobody, no body is gonna buy me, I'm free to say and do whatever I want . I'm sorry for you poor souls that enslaved yourselves to be used and exploited by your artificial mobs called "parties". I'm not surprised one Casino boss once said " there is a sucker born every minute" (Kila dakika ***** uzaliwa), so your party leaders will never run out of "mabegwe" to use for their own interests and agendas. Ain't nobody fool and ain't sucker , I'm natural born independent killa.

Bravo! i like that! keep it up! kuna watu lazima waheshimu mawazo ya wengine! not everybody is there to look at Mbowe's mouth or Slaa's to see what he commands next, this is slavery!!
 
Killa asante mkuu kwa taarifa hii kuiweka hapa, taarifa inayoonyesha upande wa pili wa shilingi kuhusu sakata hili la vurumai ya arusha.
Mengi yameongelewa kumlaumu chitanda kama chanzo cha sakata hili zima.
Mimi binafsi sina uhakika sana na uhalali wa chitanda hadi nilipo soma komenti ya msajili ikanipa mtazamo tofauti juu ya swala hili.
Nimejaribu kupita comments zote hapo juu hakuna hata moja iliyojaribu walau kukanusha kwa hoja juu ya uhalali wa chitanda kwa mujubu wa ufafanuzi uliotolewa kisheria,
wengi kama kawaida ya jf ukileta mada inayohoji cdm wameishia kuponda na kumuona mleta mada ni makamba badala ya kujibu hoja kwa ufasaha.
Naombeni hoja hii ijibiwe kwa hoja jamani, tusiwe watu wa kukimbilia cheap and soft topic na tukaacha kujadili issue hii ya msingi ilioleta songombingo zima, sidhani kama ni fear kuijibu hoja hii just kwa kusema huyo si kada wa ccm au umetumwa kuchafua hali ya hewa, basi.
Narudia tena tusipende kukimbilia cheap and soft topic kwa replies kibao na kukwepa topic zenye changamoto na zinazohitaji kuonyesha how great thinker you're.
Hapa nategemea magwiji kama rev masa na group lake kuja na ufafanuzi wa kushiba kuondoa dhana kuwa great thinkers waoga katika hoja nzito.
Nawasilisha
 
Umenena Paulss:
Watu wanajiita magreat thinker, wengi wao ni vilaza tu. Kwenye mada kama hizi wanatoka baruti, na wakichangia ndio wanaishia kusema killer kachafua hewa. Watu wenye akili zao kama Mwanakijiji huwez kuona anaandika hizi crap wanazocomments hawa jamaa.
Leteni hoja. sio mnaangalia pande moja tu ya shilingi.
 
Back
Top Bottom