Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
Kaka jibu ni dogo sana, katika vita hakuna adui mkubwa wala mdogo,adui ni adui tu, na kwa sababu kama ulivyosema CDM inataka kushika dola ni lazima kuakikisha kwamba mashambulizi ni kwa kila ajae mbele.
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
Mkuu hebu tuondolee wokovu kwenye jukwaa la siasa nenda kwenye jukwaa husikaKila siku CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA. Hivi hii chadema itazuia msife? au itawaokoa na moto wa milele?.
SIASA ZITAPITA BALI NENO LA MUNGU LITADUMU MILELE.
Mbona hilo avatar lako linafanana na marehemu CCM na CUF?Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
We don't get U.
Sidhani kama una ushahidi kwa hayo uliyosema? Thibitisha hilo kabla hujaandika.
Mzee wa njaa, unataka uthibitisho upi? Wa Wenje kumkebehi mwenyekiti wa NCCR au Halima Mdee kumtusi kabisa? Au kauli za Mbowe alipoeleza kwa nini kambi rasmi bungeni haihusishi wabunge wa vyama vingine vya upinzani?
NCCR na CUF vilikuwa na nguvu zamani kabla ya CDM labda CDM ndio inatumiwa kuvivuruga.Mkuu hivyo vyama ni wakala wa chama tawala. CCM imewapa jukumu la kuivuruga CDM. Sasa CDM baada ya kushtukia dili lao wameamua kujizatiti kupambana nao yaani 3 in 1.
NCCR na CUF vilikuwa na nguvu zamani kabla ya CDM labda CDM ndio inatumiwa kuvivuruga.
CUF wapo kwenye serikali ya umoja wa kitaifa
NCCR nao hivyo hivyo, angalia Mbatia na manjonjo yake
Safi sana mkuu kwani kwenye msako wa nyani ngedere hawezi kusalimika!huwezi kuwa na vita na mtu bado ukaamini mke na watoto wake ni salama sana hata ukanywe nao chai.
wewe Nduka , ni mwana Gamba na ndio maana unaumia sana tunapowasema NCCR na CUF kwani unatimiza kiapo cha ndoa,kwamba ntakupenda kwenye shida na raha.swali dogo tu kwako ambalo ndio litakua jibu la swali lako. NI JE WEWE KAMA MWANA CCM UNAUMIA NINI NA KUPUNGUKIWA NINI SISI CHADEMA TUNAPOWASEMA CUF NA NCCR?