Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,226
- 5,339
Mmhh!! kama ni kweli basi kazi ipo!!! Tuombe iwe kheri, lakini pamoja na kuwa sipo huko, bado napata wasiwasi.
Hata mimi mkuu,kama ni kweli nawaomba cdm waahirishe maana PEOPLES POWER +NGANGARI =MAAFA MAKUBWA