hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
propaganda tu nani atake maiti irudi duniani si atakuwa msukule hata azikili ameshapoteza tena nafasi yake ya kitaifa kisiasa na kuaminika na wananchi wewe uliyemdanganya kwa milioni mia mbili na vidola vya ujerumani upo wizarani unatamba naibu waziri mpuuzi shetani uliyesimamaimeripotiwa katika magazeti ya leo kwamba chadema imemwangukia mbunge wa kigoma kaskazini zitto kabwe na kutaka kusuluhishana na kumaliza tofauti zao na hatimaye kurudi kukijenga chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa dola 2015.
Nini tafsiri na mantiki ya hatua hiyo muhimu ya chadema baada ya kukamisha uchaguzi wa ndani ya chama bila Zitto kisha kumwangukia?? Je, ni dhamira ya dhati au ni kumhadaa na kumkejeli kumpima kama yuko imara??
Source; RAI NGUVU YA HOJA
imeripotiwa katika magazeti ya leo kwamba chadema imemwangukia mbunge wa kigoma kaskazini zitto kabwe na kutaka kusuluhishana na kumaliza tofauti zao na hatimaye kurudi kukijenga chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa dola 2015.
Nini tafsiri na mantiki ya hatua hiyo muhimu ya chadema baada ya kukamisha uchaguzi wa ndani ya chama bila Zitto kisha kumwangukia?? Je, ni dhamira ya dhati au ni kumhadaa na kumkejeli kumpima kama yuko imara??
Source; RAI NGUVU YA HOJA
Kwa hiyo RAI ndilo linamwombea Zitto msamaha? sijakuelewa.
propaganda tu nani atake maiti irudi duniani si atakuwa msukule hata azikili ameshapoteza tena nafasi yake ya kitaifa kisiasa na kuaminika na wananchi wewe uliyemdanganya kwa milioni mia mbili na vidola vya ujerumani upo wizarani unatamba naibu waziri mpuuzi shetani uliyesimama
Asante kwa kuthibitisha kile kilichoandikwa kwenye gazeti, kwamba mnataka ZITTO AFANYE KAMA INAVYOONEKANA KWENYE REDNi kituko na kichekesho Zitto kutumia magazeti ya washirika zake CCM kujaribu kuomba msamaha Chadema.Hiki ni kituko cha mwaka.
Kama Zitto anataka kuomba msamaha asimame mbele ya Watanzania atubu madhambi yake na hila zake za kutaka kuua upinzani Tanzania.
Ni mwendawazimu pekee atakayeamini uchafu huu wa Zitto alioupenyeza kwenye gazeti la CCM eti tunataka suluhu naye! Ebo..Tutake suluhu na mhujumu mageuzi Tanzania?
Mkutano mkuu wa Chadema uliofanyika wiki iliyopita na kumrudisha kwa kishindo madarakani Freeman Mbowe umewaumbua makuwadi wote wa kisiasa Tanzania na kuwaacha wameficha nyuso zao kwa aibu.
Just Imagine mkutano mkuu uliohudhiriwa na mabalozi wa mataifa ya kigeni zaidi ya 19!
Namshauri Zitto aende akauze dagaa kama biashara ya siasa imemshinda kuliko kutapatapa na vijarida vya CCM.
Yule kijana ambaye bila yeye hakuna chademaZzk Ni nani kwani? Mi mgeni hapa .
Zzk Ni nani kwani? Mi mgeni hapa .
Hawana jamaa hawana jipya tena wamepwelewa.Maji yameshawafika shingoni.
akili yako inaingia mara 1000 kwenye akili na uwezo wa zittomku umeifanya siku yangu leo iwe ya kipekee sana. Hakika zitto ni m@iti!
huyu ambaye siku hizi anaitwa mfalme mbowe??Ni kituko na kichekesho Zitto kutumia magazeti ya washirika zake CCM kujaribu kuomba msamaha Chadema.Hiki ni kituko cha mwaka.