Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na wapinzani wengine mbona hamtu-convince?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mito, Jul 28, 2012.

 1. mito

  mito JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,958
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Kiukweli wapinzani hawajani-convince kuwakabidhi nchi! Bado hawaonyeshi kuwa serious na issues zinazowakera watanzania kama vile ufisadi. Of course, kwenye majukwaa wanaonyesha wanapinga sana ufisadi lakini wanapopewa nafasi nao pia wanafanya ufisadi huo huo. Wote tumesikia anachofanya zito, pia tumesikia madudu ya meya wa Mwanza chadema, ubabaishaji wa 'mapesa' na mbatia nao pia tunaujua. Afadhali kidogo mrema kwani angalau anaonyesha anajaribu kudhibiti madudu ya ufisadi kupitia kamati yake.

  Ni kweli nahitaji mabadiliko ya uongozi wa nchi yetu, lakini mbona hawa wapinzani hawani-convince? Wewe una maoni gani?
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu, mbona umechukua personal sana? hebu tuambie hao wa CCM, wamekushawishi vipi?
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Tuambie hao uliowapa nchi wamekufanyia nini mkuu....??
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,958
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Hawajafanya kitu ndo maana natamani mabadiliko. Tatizo ni kwamba ninaowaona kama ni altenative kumbe nao wako kimaslahi zaidi........ndo maana nasema hawani-convince!!
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,559
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Mkuu, umemsahau waziri wa usafirishaji toka CUF kule Zanzibar.
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,958
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  siyo personal mkuu, wanatukatisha tamaa kwa kweli! jibu la swali lako hapo kwa red angalia nilichomjibu Scofied hapo juu
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,135
  Trophy Points: 280
  kabla hujaenda porini uwaulize wenyeji wakujuze uoto wa asili
  Unaona sasa umechambia upu.pu, sasa ngoma inawasha kunako ma.t...
  Msaidieni wakuu.
   
 8. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,716
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Naupenda huu usemi wa kizungu "Never say never"
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  OK
  kwa hiyo hao ndiyo wanaku-convince
  hapa la kuangalia ni nini chama kinafanya baada ya hayo yote kutokea eg Mayor wa Mwanza hapo utakuwa cha kusema
   
 10. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,775
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Bw Mito (Ballotel) hapo umenena wewe wape mwaka huu tu utasikia kitaanza kunuka na kupasuka hasa nafasi ya Rais kabla ya ile ya Mwenyekiti, kuna watakaotumbukiza uDINI na uKabila kumkataa mgombea ambaye hatatoka kanda ya kaskazini
   
 11. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,408
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  kuna kaukweli fulani ndugu,ila naamini wamekusikia na wanafanyia kazi doubt yako ikibidi kumwajibisha aliyehusika,ufisadi upo kila mahali duniani ila kwa levo ipi sasa hapo ndo tofauti,ufisadi wa uhujumu uchumi wa nchi kama huu wa tanesco kule kwetu china 'huio shengwai',yaani lazima unyongwe kabisaa,watu wasitumie umeme kisa we upige hela,daa,huu wiz haukubaliki
   
 12. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,222
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Badilisha heading andika hawaku convince usishirikishe ubongo wako na wengine,pia pima kwa kina maovu yaliyofanywa na utawala tulionao ni mengi sana kiasi na yanashirikisha mfumo mzima ambacho ni kitu cha hatari sana mfano
  1. Utaifishaji wa rasilimali zilizokuwepo kabla ya vyama vingi
  2.Ununuzi wa RADA
  3.Ununuzi wa ndege ya raisi
  4.EPA
  5.KAGODA
  6.RICHMOND
  7. ...........
  8. ...........
  yapo mengi yote haya mfumo mzima wa utawala umeshiriki katika hujuma hizi, kwa hiyo moja ka moja chama hiki hakifai kuongoza nchi. Tukija kwa upande wa upinzani wapo ambao sio waaminifu lakini makosa yao hayapo katika mfumo wa vyama hivyo ni kashfa binafsi na ni kitu ambacho kama Chama ni makini suala kama hilo linaweza kutatuliwa na bado nidhamu na uadilifua ukawepo kiutendaji.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mimi ccm hawajawahi kuni-convice lakini ndo wanatawala miaka nenda miaka rudi
   
 14. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mawazo yako mkuu sawa hawajakushawishi wewe na wewe usianze kushawishi wengine.
   
 15. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 6,310
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Haya yote yanatokea kwa sababu ya ulegelege wa serekali ya ccm.inaelekea ccm wana ilani yao iliojificha ya uhujumu uchumi ufisadi wizi n.k. ambayo kila mwana ccm anatakiwa aitekeleze. ndio maana hata pale ambapo mali ya uma inapohujumiwa hawachukuliani hatua yoyote bali ni kutajana tu utafikili wanapongezana kwa kutekeleza ilani yao vizuri. baadhi ya wapinzani wamejikuta wamenasa kwenye mtego huu kwasababu ya kulazimika kutekeleza ilani za ccm ambao ni watawala.
   
Loading...