CHADEMA na wapenda haki wengine.

CHADEMA na wapenda haki wengine.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Wakati umefika tuache UNAFIKI.
Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki.

Ikiwa Tundu Lissu alimwaga damu yake kwa kutetea Haki, kwa nini sisi tunaogopa kujitoa sadaka damu zetu zimwagike ili kutetea Haki ya Lissu na ya Watanzania kwa ujumla?

Mimi niombe sana, kama kweli tupo serious, na kwamba tunatakiwa kudai Haki, tujitoe sadaka. Sina maana tuchukue silaha kupambana na dola ili kudai Haki, namaanisha kwamba tukae mstari wa mbele kabisa kudai Haki kwa vitendo. Kama vyombo vya dola vitataka kutupiga au kutuumiza hilo ni lao lakini sisi tusiogope kuumizwa.

Inashangaza sana, mtu amepigwa risasi na amemwaga damu, sisi tunaogopa nini?
Damu zetu ni za thamani kubwa zaidi damu ya Lissu?
Ebu tuchukue hatua madhubuti zinazoumiza, siyo kupiga kelele tu.
 
Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?

hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,

halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? 🐒
 
Wewe mpumbavu, Mtoa mada ameshauri tusifanye vurugu, tudai haki kwa amani, wewe unazungumizia habari ya risasi.

Round hii mkimuumiza Lissu mtajua kwamba polisi ni wachache kuliko sisi. Na risasi zenu hazitatuzuia kupata haki yetu.

I know you can access my IP address na mkanipata lakini sitakuwa wa kwanza kuuwawa na serikali haramu ya CCM.
 
Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?

hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,

halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? 🐒
Hivi huyu mpuuzi anafanyaga kazi gani? Na saa ngapi?halafu unachoandikaga ni utumbo mtupu,na unawakilisha taswira ya vijana wapumbavu wa CCM
 
ni vizuri kuchangia hoja mahususi mezani bila makasiriko wala mihemko dhidi ya maoni yangu na itapendeza zaidi, right?🐒
 
Wewe mpumbavu unazungumizia habari ya risasi for which sense? Mtoa mada ameshauri tusifanye vurugu, tudai haki kwa amani.

Round hii mkimuumiza Lissu mtajua kwamba polisi ni wachache kuliko sisi. Na risasi zenu hazitatuzuia kupata haki yetu.

I know you can access my IP address na mkanipata lakini sitakuwa wa kwanza kuuwawa na serikali haramu ya CCM.
Gentleman,
relax and calm down plz,

changia hoja kwa uhuru kama mTanzania bila mihemko na bila kujitoa sadaka for nothing kama mtoa hoja, na itapendeza zaidi,

enjoy Easter weekend gentleman 🐒
 
Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?

hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,

halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? 🐒
CCM ni wajinga wanahubiri amani lakini wanaichukia HAKI hadharani
 
KWA HATUA YA AWALI NINGESHAURI TUNAOAMINI MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA WA YOOTE NA ANAIPENDA HAKI ;
TUPOSTI SALA NZURI KUMUOMBEA LISSU NA KUIOMBEA CCM KIPIGWE UPOFU NA WAVURUGANE NA KUFARAKANA!!!

EEH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA TUNAMUOMBEA MTOTO WAKO LISSU ALIYEFUNGWA GEREZANI NA WATU KATILI WASIOITAKA HAKI WALA AMANI UMJAALIE MOYO MKUU,AFYA NJEMA NA USHUPAVU KATIKA MAPITO MAGUMU WANAYOMPITISHA WATESI WAKE .

TUNAOMBA UWAVURUGE WATESI WAKE,WANYIME AMANI,UMOJA NA MAELEWANO. WAFARAKANISHE WASIKAE WAKAPANGA UOVU WAO POPOTE JUU YA SURA YA NCHI NA DUNIA, WALEGEZE NA WAAIBISHE MPAKA WATAKAPOJUA HAKI NDIYO HULIINUA TAIFA.

TUNAKUOMBA EEH MUNGU UILINDE NA KUIINUA NCHI YETU TANZANIA NA UTUJAALIE VIONGOZI WAPENDA HAKI NA WAKUABUDIO WEWE MUNGU KATIKA KWELI YOOTE.

TUNAOMBA HAYO YOTE KWA JINA LA KRISTO YESU BWANA WETU, AAMINA🙏🏾🙏🏾
 
Uzuri mmoja ni kuwa kwa Mungu hakuna hila; kule Kuna ukweli tu anaouona kupitia mioyo na nafsi zetu. Mdomoni tunaweza kutamka hivi lakini mioyoni tukawa tuna Nia ovu. Chuki, hila, udini, ukanda ni vitu Mungu hapendi.....ukiwa na hivyo moyoni hata ukeshe mwaka mzima ukiomba, Dua haiwezi kupokelewa.
 
Nashukuru sana kwa maoni yako. Sisi huku kwetu tupo kama kikosi, tuna maombi ya siku kadhaa kwa ya Taifa letu.
Tunaomba hivi; Mungu mkuu na Mungu mwenyewe nguvu na uwezo wa ajabu, tunakuomba ukainyooshe fimbo ya nguvu zako kutoka mahala pa juu uketipo, ukawaponde vichwa watala waovu katika Nchi hii, wote wakapate upofu wa akili na na viungo vya miili yao vikashindwe kufanya kazi mpaka pale watakapoghairi uovu wao na kutenda Haki. Amina.
 
Gentleman,
unamaanisha kwamba,
ukipigwa risasi ndio umepata tiketi ya kuropoka na kwa jeuri kuvunja na kukiuka sheria za nchi, right?

hebu jitoe hiyo sadaka ya bila kujibakiza wadau wa JF tuone gentleman,

halafu mbona uligoma kujitoa sadaka kwenye tone tone kidigitali? 🐒
Hizo akili kwakweli!??
 
KWA HATUA YA AWALI NINGESHAURI TUNAOAMINI MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA WA YOOTE NA ANAIPENDA HAKI ;
TUPOSTI SALA NZURI KUMUOMBEA LISSU NA KUIOMBEA CCM KIPIGWE UPOFU NA WAVURUGANE NA KUFARAKANA!!!

EEH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA TUNAMUOMBEA MTOTO WAKO LISSU ALIYEFUNGWA GEREZANI NA WATU KATILI WASIOITAKA HAKI WALA AMANI UMJAALIE MOYO MKUU,AFYA NJEMA NA USHUPAVU KATIKA MAPITO MAGUMU WANAYOMPITISHA WATESI WAKE .

TUNAOMBA UWAVURUGE WATESI WAKE,WANYIME AMANI,UMOJA NA MAELEWANO. WAFARAKANISHE WASIKAE WAKAPANGA UOVU WAO POPOTE JUU YA SURA YA NCHI NA DUNIA, WALEGEZE NA WAAIBISHE MPAKA WATAKAPOJUA HAKI NDIYO HULIINUA TAIFA.

TUNAKUOMBA EEH MUNGU UILINDE NA KUIINUA NCHI YETU TANZANIA NA UTUJAALIE VIONGOZI WAPENDA HAKI NA WAKUABUDIO WEWE MUNGU KATIKA KWELI YOOTE.

TUNAOMBA HAYO YOTE KWA JINA LA KRISTO YESU BWANA WETU, AAMINA🙏🏾🙏🏾

Muda utaongea...

Cc: Mahondaw
Ni kweli, ebu tusubiri kidogo.
 
Uzuri mmoja ni kuwa kwa Mungu hakuna hila; kule Kuna ukweli tu anaouona kupitia mioyo na nafsi zetu. Mdomoni tunaweza kutamka hivi lakini mioyoni tukawa tuna Nia ovu. Chuki, hila, udini, ukanda ni vitu Mungu hapendi.....ukiwa na hivyo moyoni hata ukeshe mwaka mzima ukiomba, Dua haiwezi kupokelewa.
Ujinga mwingine wa unafiki, dini nk. unaujua wewe.
Sisi tunaidai haki! haki! haki!
Huwezi kuiba uchaguzi alafu ukiulizwa unadai udini? Eti Hila?chuki? Kwahiyo wengine wafungwe,wengine wazuiwe kugombea,wengine mawakala wao wafukuzwe kituoni,wengine waibiwe kura zao alafu tukiomba Kwa Mungu iwe Hila. Jinga kweli
 
Back
Top Bottom