UMEMALIZA UCHAFU WAKO hapa!? unataka ujibiwe vipi na nani au wewe ni POLICCM?Hiki chama siku za karibuni kimepamba kurasa za magazeti kwa mvutano wao na jeshi la polisi kiasi ambacho INATUWIA VIGUMU kutengenisha harakati za CDM na jeshi la polisi pamoja na mahakama.
Siku hadi siku wanazalisha kesi nyingi zikiwa ni za kujitakia kwa njia ya kuichokonoa serikali ili waonewe huruma na wananchi. Pamoja na kuwepo kwa utitiri wa kesi zilizopo mahakamani, majuzi Mei 5, kwa kumtumia mbunge wa Arumeru Mashariki, wametoa matamko ambayo yanahatarisha ustawi wa Tanzania kwa kutishia UTAWALA ULIO MADARAKANI KIHALALI kuwa Amiri Jeshi Mkuu asipite kanda husika. Hali hii haikubaliki kabisa. Tunalishukuru jeshi imara la polisi limefuatilia tukio hilo na wahusika watapandishwa kizimbani wakati ukiwadia.
CDM badilisheni mbinu, watanzania wanataka amani na umoja!
Hoja mufilisi,nenda lumumba ukale buku 2 yako.
wewe Kinondoni haupajui?Wewe siku zote ukipewa ushauri wa bure hautaki kuufikisha Kinondoni, hicho chama mnatakiwa mbadilishe muelekeo, siku hizi mnafanyia siasa POLISI NA MAHAKAMANI badala ya kurudi kwa wananchi
Wewe siku zote ukipewa ushauri wa bure hautaki kuufikisha Kinondoni, hicho chama mnatakiwa mbadilishe muelekeo, siku hizi mnafanyia siasa POLISI NA MAHAKAMANI badala ya kurudi kwa wananchi
Hiki chama siku za karibuni kimepamba kurasa za magazeti kwa mvutano wao na jeshi la polisi kiasi ambacho INATUWIA VIGUMU kutengenisha harakati za CDM na jeshi la polisi pamoja na mahakama.