TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Ni sawa na Siwapingi ila Wanakiburi au Ni Wagumu sana Wa Kutumia Njia Nyingine. Wakati Nelson Mandela akiwa Jela, Au Uhuru wa Msumbiji, Namibia, Zimbabwe, etc. Kulikuwa na Nyimbo na Miziki (eg Chico, Pat Shanghe, Ivone Chakachaka) za Mchaka Mchaka, Senema eg Sarafina, soweto) Hotuba za Kimataifa (Mwal Nyerere na Wengine) Mavazi, Mabango, Kugomea Bishara za Makaburu etc. Lazima Ukawa Wawe more Advanced! Vinginevyo Tutawachoka, Kutupuuza, We got important things to Do, Na inatia Hasira Kujijengea Maadui Kuishi kwa Wasiwasi Kuwatetea Watu wasiosikiliza. They should not take people for granted, People's Power my ass!Maandamano hata US yapo na tumeona majuzi kwenye kupinga mauji ya polisi kuua watu weusi huko Marekani.
I hope Not, Ingekuwa Hivyo, Wasingekuwa Wamoja. Ila wanaweza hata Kutafuta Michango, Niliwashauri hayo Wakati wa Kampeni, Nikawashauri Wamwandikie Hotuba Lowassa Kwa Kuwa Yeye sio Msemaji sana Tangu mwanzo. Tazama Hotuba yake ya Kufunga kampeni ilivyokuwa Nzuri, Lakini it was too late too little! Nilimtuma Mpaka Rafiki yangu Mkubwa, Nikawaandikia Ujumbe wenye Proposals Hata Moja hawakufuata! Labda Mimi Najiwekea Matumaini Makubwa sana juu yangu hivyo Labda Niliwashauri Upuuzi. Sijui, Lakini Nikaamua Kuingia Kupiga Kampeni Mwenyewe Online Kwa Kuwa Niliamini Niliyowashauri!Ushauri wako ulioutoa hautekelezeki kwa sababu ni kuhusu kutumia fedha za ruzuku,hautekelezeki kabisa yaani Chadema itoe fedha kuchapisha kanga,itoe fedha kuwapa wanamuziki.
Matumizi ya ruzuku yanaanzia kwa Mbowe na yanaishia kwa Mbowe kidogo akina Tundu na wanasheria wenzake nao wanapata kiduchu kwa ajili ya kufanya kazi za uwakili za Chadema.
Hawataweza Kwani Kama Mwanamziki akifanya Concert hawatangazii Polisi ataimba Nyimbo Gani Wanashtukia Tu anaimba, Polisi Watanyang'anya Kamga Zimemazo 1) TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI, Watatoa utetezi Gani? au Vijana Wakisema TUNATAKA KATIBA MPYA, Polisi watanyang'anya Tshirt hizo kwa Kisingizio Kipi? Kanisa La Lutheran au Pentekoste Wakiimba Kanisani Jumapili, Wimbo Usemao, HAKI HUINUA TAIFA, SERIKALI ISIONEE, Polisi watafanyaje? Chadema Wakikusanya Michango na Wakatangaza OCD atakayejiuzulu Mbele ya Luninga Kupinga Kuonewa Watamtwanga na Tsh Bilioni 3 Hilo Litazuilikaje? Mbowe akiomba watu US wamkusanyie Na Masenator wachache aongee nao Dunia Ijue Yanayoendelea Tanzania atazuiwa na Nani?'Polisi' kama wanaingia maduka ya vifaa vya chama wanachukua, kiwanda cha kutengeneza khanga kikiwekewa ban na wasambazaji kukamatwa, mikanda ya cinema kupigwa ban na waonesha cinema kuswekwa rupango....
Yes, maandamano na mikutano ktk wingi wetu na amani. Dunia ijue Haki zetu kisiasa zimevamiwa na polisi, bunge aliwakilishi wananchi isipokuwa ccm, mahakama zinasikiliza watawala kuhusu kesi za uchaguzi. Ndio, watu wajue tunaumia ndani kwa ndani. Tumevumilia na kuelimisha wenzetu wa ccm lakini mameamua kutumia nguvu za kijeshi ktk masuala ya siasa.
Ushauri wako si mbaya but tulipofikia ni pagumu kwa baadhi ya shauri zako kuwa effective...refer ya zenj
Hahahahahah kwanza mpaka sasa hivi hajaitwa msaliti wamemvumilia sana, amuulize mwanakijiji imekuwaje amegeuzwa adui.Chadema iliwashinda kina Slaa, wewe uiweze una nini?
kwa nini usishauri upande wa pili wasivunje katiba?Hawataweza Kwani Kama Mwanamziki akifanya Concert hawatangazii Polisi ataimba Nyimbo Gani Wanashtukia Tu anaimba, Polisi Watanyang'anya Kamga Zimemazo 1) TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI, Watatoa utetezi Gani? au Vijana Wakisema TUNATAKA KATIBA MPYA, Polisi watanyang'anya Tshirt hizo kwa Kisingizio Kipi? Kanisa La Lutheran au Pentekoste Wakiimba Kanisani Jumapili, Wimbo Usemao, HAKI HUINUA TAIFA, SERIKALI ISIONEE, Polisi watafanyaje? Chadema Wakikusanya Michango na Wakatangaza OCD atakayejiuzulu Mbele ya Luninga Kupinga Kuonewa Watamtwanga na Tsh Bilioni 3 Hilo Litazuilikaje? Mbowe akiomba watu US wamkusanyie Na Masenator wachache aongee nao Dunia Ijue Yanayoendelea Tanzania atazuiwa na Nani?
Kwa Hilo Mimi Naomba Nitofautiane na Wewe, Naafiki Maandamano lakini Isiwe Ndiyo Mbinu Kubwa na Pekee!
kwa nini usishauri upande mwingine wasivunje sheria walizoapa kuzilindaaChadema iliwashinda kina Slaa, wewe uiweze una nini?
Ni sawa na Siwapingi ila Wanakiburi au Ni Wagumu sana Wa Kutumia Njia Nyingine. Wakati Nelson Mandela akiwa Jela, Au Uhuru wa Msumbiji, Namibia, Zimbabwe, etc. Kulikuwa na Nyimbo na Miziki (eg Chico, Pat Shanghe, Ivone Chakachaka) za Mchaka Mchaka, Senema eg Sarafina, soweto) Hotuba za Kimataifa (Mwal Nyerere na Wengine) Mavazi, Mabango, Kugomea Bishara za Makaburu etc. Lazima Ukawa Wawe more Advanced! Vinginevyo Tutawachoka, Kutupuuza, We got important things to Do, Na inatia Hasira Kujijengea Maadui Kuishi kwa Wasiwasi Kuwatetea Watu wasiosikiliza. They should not take people for granted, People's Power my ass!
Unajenga hoja na kuilinda. Take my like na ushauri upande mwingine usivuje katiba kwa makusudi ili upinzani usiingie gharama zote hizo.Hawataweza Kwani Kama Mwanamziki akifanya Concert hawatangazii Polisi ataimba Nyimbo Gani Wanashtukia Tu anaimba, Polisi Watanyang'anya Kamga Zimemazo 1) TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI, Watatoa utetezi Gani? au Vijana Wakisema TUNATAKA KATIBA MPYA, Polisi watanyang'anya Tshirt hizo kwa Kisingizio Kipi? Kanisa La Lutheran au Pentekoste Wakiimba Kanisani Jumapili, Wimbo Usemao, HAKI HUINUA TAIFA, SERIKALI ISIONEE, Polisi watafanyaje? Chadema Wakikusanya Michango na Wakatangaza OCD atakayejiuzulu Mbele ya Luninga Kupinga Kuonewa Watamtwanga na Tsh Bilioni 3 Hilo Litazuilikaje? Mbowe akiomba watu US wamkusanyie Na Masenator wachache aongee nao Dunia Ijue Yanayoendelea Tanzania atazuiwa na Nani?
Kwa Hilo Mimi Naomba Nitofautiane na Wewe, Naafiki Maandamano lakini Isiwe Ndiyo Mbinu Kubwa na Pekee!
Halafu yeye kwa keyboard wakati wenzake walimwaga damu zao lakini wakashindwa.Chadema iliwashinda kina Slaa, wewe uiweze una nini?
Nimefanya Hivyo Kwa Post Zaidi ya 700, Sasa Siwezi Kushambulia Tu Magufuli na CCM, halafu Niwe Blind Kwa Makosa ya Chadema Mimi sina Unafiki, Hata Baba yangu Marehemu sasa akikosea Nilikuwa Nikimwambia wazi.kwa nini usishauri upande wa pili wasivunje katiba?
Don't Get Me Wrong, Nadhani Wewe Ni CCM, Nataka waandamane Lakini Isiwe Maandamani Ndio Kila Kitu.TL. Marandu
Usiwe hata na wasi wasi,hamna mwana CHADEMA yyt wa kuandamana
CHADEMA itapata aibu Sept 1
Labda ndiyo watakaa chini kujiuliza kwa nn watz sasa wana wapuuza!!
Bro Mh. Magufuli na CCM Nifuatilie Nimewashambulia Kwa Mada Zaidi ya 700, Na Kama Unavyoona hata Kabla ya Kuwa Rais Magufuli Nilimpenda sana (Sio sasa) Lakini Bado Nikawapigia kampeni Chadema Ingawa wanatake Kilakitu for granted! Nilimpenda Magufuli sana, Ila Niliichukia CCM zaidi. Kwa sasa Nimefikia Kumdharau sana Mh. Magufuli Vitendo vyake hasa Teuzi zake za watu Kama Makonda na Yule Wa Arusha yule. Lakini Hilo Halinizuii Kusema Sasa Chadema Dharau zao Zinanitia Kichefuchefu. Nitakuwa Mnafiki Kumshambulia Mh. Magufuli Ninyamazie Upuuzi wa Chadema. Na Usidhani hapa Nawasema Wazi, Nimewachoka, Nilikuwa najitahidi Kuwasiliana nao Private, Nimemtuma haka Kiongozi Mmoja wa Dini Mzito wakati wa Kampeni, hawasikilizagi saa Nyingine! Nikawaandikia Ujumbe Mrefu, Nadhani Ndio Secretary wao hata akauiba na Akapeleka Kule Kwingine maana Niliona yakianza Kusemwa na Kutekelezwa na Ule Upande Mwingine.Unajenga hoja na kuilinda. Take my like na ushauri upande mwingine usivuje katiba kwa makusudi ili upinzani usiingie gharama zote hizo.