CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,570
Katika Mikutano Ya CHADENA, Kuna Style Naipenda Ya Kupunga Mikono Hewani Huku Na Kule Kama Ishara Ya Kwaheri.

Naipenda Sana Hiyo Style Lakini Sijaelewa Ina Maana Gani. Nimeona Hata Mikutano Ya Baadhi Ya Maccm Wanaanza Kuiga.

Anayejua Maana Ya Huo Mtindo Anifahamishe Tafadhari..!
 
Nmechek itv halafu mtangazaj nae alinogewa aliiacha mda mrefu sana
 
Wanapunga mkono kuaga maana kinakufa baada ya uchaguzi mkuu.
 
Yap nami nimeiona ila habari iliyofuata ya Redbriged nathani ITV walichanganya matukio mawili ndani ya mmoja, Tukio la kukutwa na vifaa vya jeshi na Seremala aliyekutwa na viungo vya Albino kwa pamoja
 
Nmechek itv halafu mtangazaj nae alinogewa aliiacha mda mrefu sana

na itv bila kuonyesha watu wakipunga mikono vile huwa hawaridhiki kabisa, na wanafanya makusudi kuyapa pressure magamba, kwani juzi nilikuwa sehemu walipoonyesha hiyo mzee mmoja ni mwana ccm, akalopoka mamaa yanguuu!! kwani hadi nguo ya ndani lazima ibane.
 
Ukiona chadema wanafanya hivyo basi ujue wanamaanisha 'Delete futa kabisa ccm' na ukiona ccm wanafanya hivyo ujue wanawaaga wananchi maana ndio mwisho wao na chama chao.
 
Mbona mikutano ya ayatola watu walikuwa wamenywea kama wamemwagiwa maji. Nasikia walikuwa wanaletwa, ukiona cdm watu wamehamasika unajua mtu kaja mwenyewe
 
Ukiona chadema wanafanya hivyo basi ujue wanamaanisha 'Delete futa kabisa ccm' na ukiona ccm wanafanya hivyo ujue wanawaaga wananchi maana ndio mwisho wao na chama chao.
Alaaa ! kumbe ndiyo hivyo ? asante mkuu kwa ufafanuzi wa kina .
 
Mbona mikutano ya ayatola watu walikuwa wamenywea kama wamemwagiwa maji. Nasikia walikuwa wanaletwa, ukiona cdm watu wamehamasika unajua mtu kaja mwenyewe

walikua wanaletwa na nani?ACT sio chadema wala ccm kwetu wanakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom