CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

Hiyo style inanikumbusha enzi ya nyerere wakati tukimwaaga MKOLONI mweupe!
 
Yap nami nimeiona ila habari iliyofuata ya Redbriged nathani ITV walichanganya matukio mawili ndani ya mmoja, Tukio la kukutwa na vifaa vya jeshi na Seremala aliyekutwa na viungo vya Albino kwa pamoja
Imewekwa vile makusudi!
 
naomba msaada mwenye wimbo wa 'polisi msitupige mabomu chadema ni serikali ijayo' mwenye nao au link tafadhali nipo kujenga chama huku kijijin kwetu.
 
Ni kutia matumaini,upendona,subira.hata kwenye maombezi haya mambo yapo!
 
Back
Top Bottom