CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

Kama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
Sio uchunguzi tu hata albadili walikataa watu wasisome kipindi tundu lisu walikataa.....yaani mtu atakama umetumwa waza basi wakati unaandika huo upupu wake...
 
Doubt in every single doubt, dunia haiko wazi ktk jambo lolote, hata tarehe ya kuzaliwa kwako inaweza isiwe sahihi kwakuwa hukuwa na akili ya ufahamu.

Vipi Chacha Wangwe, maelezo yake yalifutikaje kwani? Vipi serikali ilihusishwa au tuliaminishana kuwa ni ajari tu ya kawaida? Vipi hawakuwepo wengine walio kuwa na mitazamo tofauti na ilikubalika na wengi? Doubt in everything!
 
Swali limekosa jibu!
Ungekuwa ni wewe ndiye serikali, na unajua kuwa upinzani nchini una vinasaba na mataifa makubwa ya kibepari ya Ulaya na Marekani, kwa dhamira zao za kibepari, ungeruhusu hilo jambo litukie? Au unadhani Dunia haijui yanayotukia kwa Congo huratibiwa nje na mataifa hayo? Fanya kwamba intelligensia ya taifa ilishabaini matokeo ya uchunguzi huo, ingeendelea kuruhusu tu?

Ziko wapi silaha za kinyuklia za Sadam na mengine mengi tuliyowahi kutangaziwa na mataifa hayo ktk propaganda zao za kutimiza malengo yao? Mimi naamini matukio haya plus la Lisu, yanaweza yasiwe tunavyolazimishwa tuamini na pande yoyote ile.
 
Mkuu propaganda zinaendeshwa kwa akili. Sasa kama unamtetea asiye na akili, je wewe akili zako zinakutosha? Cha ajabu unalipwa kwa kodi zetu kutokana na serikali
 
Wafuasi wa chadema wanashangaza sana!
Wakiambiwa na Lema kuwa wanajua mipango ovu ya serikali kabla ya kutekelezwa wanakubali,lakini wakiambiwa kuna genge la maharamia chadema wanakataa,serikali ikimua inaweza kupenyeza watu wake popote
 

Beni saa Nane hakuwahi kuwa rafiki wa Mbowe, kama kuna mtu alimchukia Ben ni Mbowe na kundi lake.
Mbaya zaidi ni pale Ben alipoanzisha move ya Team Lisu na uwenyekiti.......
Leo mnaisikia Team Lisu.......

Mbowe Alinusa hatari tayari.......makengeza ya naona mbali
 
Propaganda za kipuuzi. Unasubiri nini kupeleka hilo suala mahakamani kama una uhakika? Inadhihirisha udhaufu wako kufanya propaganda mitandaoni wakati nchi mnaiongoza kwa ilani ya ccm badala ya katiba.
 
Uongo mweupe...

Serikali hii ilivyo inatafuta upenyo wa kuiangamiza Chadema leo wapate fununu tu eti kuna kikundi cha kigaidi ndani ya Chadema na majina na kila kitu wazi eti wawaache tu?

Kadanganye mazezeta wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…