Chadema na Mh Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na Mh Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nanyaro Ephata, Sep 8, 2011.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Chadema na Mh Freeman Mbowe watakuwa mahakamani tena kesho,kwenye kesi iliyofunguliwa dhidi yao,kesho ni hukumu dhidi ya pingamizi zilizotolewa na upande wa utetezi,dhidi ya kesi hii ya waliokuwa madiwani wa chadema..
  Kama kawaida nawaomba wanachama wote wa chadema popote walipo wajitokeze kwa wingi,kwani ndio washtakiwa namba moja,
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nawasikitikia hawa madiwani. Nimepiga kura yangu kuwachagua halafu wamenishtaki. Sijui wakishinda watakuwa madiwani wa nani!? Anyway, nitakuwepo mahakamani nikasikilize hukumu ya kesi waliyonishtaki!
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  Hivi ule mtindo wa kuwazomea uliishia wapi?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  lazima ipelekwe mbele we subiri utaona na kusikia..

  kuwazomea kina nani?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kesi ngumu sana hii inaweza kuchukuwa miaka minne au mitano
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />

  Kwa kuwa baba'ako ana mkono wake itachukua muda. Uzuri ni kwamba haki huwa haipotei, wanaichelewesha tu!
   
 7. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni ngumu kwakweli, mpaka ccm na serikali yake wamejiingiza na kujifanya wao ni mawakili wa kuwatetea hao madiwani we unadhani mchezo.
   
 8. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Haki na ukweli vitashinda
   
 9. w

  woyowoyo Senior Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesi ni ngumu hukumu 2016
   
 10. Baba Ziro

  Baba Ziro Senior Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kesi ni ngumu hukumu yake itafutwa na uchaguzi 2015 maana nasikia kesi za uchaguzi zinaexpire baada ya miaka mitano.
   
Loading...