labda tujiulize Msigwa kaenda kwa sababu ya kuzima mwenge
au kaenda kwa vile mwenge huo umezimwa katika jimbo lake?
ametumia busara kuwakilisha wananchi wake mbele ya rais.
Kuna mawili hapo kuukata mwenge na kuwakilisha wananchi mbele ya rais wao.
unaweza kuingia kanisani kwa heshima hata kama wewe sio mkristo wa dhehebu lile kama lengo ni uwakilisho wa jumuia yako.Haimaniishi kuwa pale anasapoti hilo litochi.
Wakuu,
Salamu zenu na habari ya mapumziko marefu.
Napenda tushirikiane kutafakari na kujadiliana hili jambo. Wengi wetu tumeshuhudia jinsi viongozi na wabunge wa Chadema walivyo mstari wa mbele katika kushinikiza wananchi kutochangia na kushiriki shughuli za mwenge wa uhuru. Binafsi napata shida sana kutambua nini huwa ni lengo la hawa viongozi wa Chadema. Najiuliza kama ni kweli huwa wanamaanisha wanachokisema au huwa wanaamua kuropoka tu. Hebu tujaribu kutazama hizi picha za tukio la kuzimwa mwenge Iringa halafu tujaribu kujadiliana hasa tukizingatia huyu mwenzetu Mchungaji Msigwa naye ni mmoja wa wanaopinga na kuhamasisha wananchi kususia shughuli za mwenge.
View attachment 116699View attachment 116699View attachment 116708View attachment 116707View attachment 116706View attachment 116705View attachment 116704View attachment 116703View attachment 116702View attachment 116701View attachment 116700View attachment 116709
Chadema haikubaliani na mwenge na ndio maana nimeshangaa kumuona Mch. Msigwa kwenye hii shughuli.
Nao wengine waliovaa sare za CHADEMA wote hao ni wabunge wa Iringa Mjini hivyo walipaswa kuwepo uwanjani? Kwani wabunge wanapotoka nje ya bunge huwa hawahusiki na kikao cha bunge kinachokuwa kinaendelea?Una akili ndogo kama ya Nape na Lukosi .Huyu ni kiongozi wa eneo hilo ana awajibu kuwepo nyumbani kwake na si zaidi .Kwani katangaza watu wachangie mwenge au kaenda shughuli inaishia ? Poor you
Wakuu,
Salamu zenu na habari ya mapumziko marefu.
Napenda tushirikiane kutafakari na kujadiliana hili jambo. Wengi wetu tumeshuhudia jinsi viongozi na wabunge wa Chadema walivyo mstari wa mbele katika kushinikiza wananchi kutochangia na kushiriki shughuli za mwenge wa uhuru. Binafsi napata shida sana kutambua nini huwa ni lengo la hawa viongozi wa Chadema. Najiuliza kama ni kweli huwa wanamaanisha wanachokisema au huwa wanaamua kuropoka tu. Hebu tujaribu kutazama hizi picha za tukio la kuzimwa mwenge Iringa halafu tujaribu kujadiliana hasa tukizingatia huyu mwenzetu Mchungaji Msigwa naye ni mmoja wa wanaopinga na kuhamasisha wananchi kususia shughuli za mwenge.
View attachment 116699View attachment 116699View attachment 116708View attachment 116707View attachment 116706View attachment 116705View attachment 116704View attachment 116703View attachment 116702View attachment 116701View attachment 116700View attachment 116709
Una akili ndogo kama ya Nape na Lukosi .Huyu ni kiongozi wa eneo hilo ana awajibu kuwepo nyumbani kwake na si zaidi .Kwani katangaza watu wachangie mwenge au kaenda shughuli inaishia ? Poor you
Kuwa Chadema lazima uwe na akili kama ya funza
Lokissa CHADEMA inakubaliana na Mwenge? Kwani kutoshiriki kwenye mbio za Mwenge ni msimamo wa watu binafsi au ni wa kichama?
Chadema haikubaliani na mwenge na ndio maana nimeshangaa kumuona Mch. Msigwa kwenye hii shughuli.
Vipi ukisikia kuna Sheikh anauza Kitimoto ingawa hali, wewe utamuelewaje? Jibu lake likiwa ni kwamba wanaouza ni watu wengine yeye anachukua hela tu, utamuonaje? self denial ni kitu kibaya sana. Leo kwenye Ratiba kulikuwa kunaonyesha kwamba Msigwa ataubeba Mwenge halafu yeye akakataa?Vijana wa Chadema watakujibu mimi sina chama
ninaujua msimamo wa Msigwa na pia ni mtu anaejua umuhimu wa uwakilishi.
Kumsusia rais sio jambo jema akiwa jimboni mwake
yeye hana ugomvi na JK ana ugomvi na mwenge.
labda nikuulize kama huli kitomoto kisha nkakualika kwangu kwa mazungumzo hutakuja kwa vile nakula kitimoto??
utakuja tutaongea lakini kitimoto changu hutakigusa na hakitakuathiri ukiwepo...
Kama tungemuona Msigwa akiunyanyua mwenge huo ndio tungehoji uhalali wa kauli zake kama anasimamia anachosema