MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,225
Hayo ni maoni yako ila jana nilipita mtaa wa philiops bendera za cdm zinapepea kila kona..wana arusha tupo makini sio kama vigeugeu magamba..
Wamejiuzulu wamehama chama au bado wapo Chadema?Mzito kabwela,Uongozi ulijiuzulu,ila bado chama ni imara,na tunaendelea kuwa imara,
<br />Wamejiuzulu wamehama chama au bado wapo Chadema?
Nimeomgea na baadhi ya madiwani wako dodoma wameitwa kwenye kamati kuu na bado wana msimamo wao wa kutokujiuzuru na wanasema watasimamamia kwa lolote lile na hawa hami chama....Jamani mwenye data atujuze.
Kuna baadhi humu wanasema madiwani hao wa CDM tayari wameshatii amri ya kujiuzulu nyazifa 'za mwafaka'.
Kuna ukweli gani?
Mkuu PAKAJIMY nadhani upo pande za huko Kaskazini, tujuze tafdadhali.
Mkuu Nanyaro uko Arusha au Dodoma tumeelezwa leo kuna kikao cha kamati kuu na madiwani wote wameitwa Dodoma kama uko Dodoma una taarifa zozote.<br />
<br />
Walijuzulu kwa manufaa ya chama,na bado wanaendelea kuwa wanachama waaminifu,
Kama hawahami na hawatii uongozi huoni hiyo ni fujo.Nimeomgea na baadhi ya madiwani wako dodoma wameitwa kwenye kamati kuu na bado wana msimamo wao wa kutokujiuzuru na wanasema watasimamamia kwa lolote lile na hawa hami chama....
kwa mtazamo wao wanadhani wako sahihi mpaka sasa....Kama hawahami na hawatii uongozi huoni hiyo ni fujo.
Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
Hapo mzee umenena, ukipita vijiweni na maeneo mbali mbali ya mji wa Arusha na viunga vyake utagundua hapa umaarufu ni chama zaidi kuliko watu/viongozi kinachotakiwa ni kulinda kura tu uchaguzi wowote utakaofanyikaChadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
Nafikiri ushindi si kupata madiwani ni chama kuwa na msimamo na kuona haki ikitendeka hata kama wakiwakosa madiwani wote.Bila shaka ndio maana mnataka kupima Oil kwa kutumia kidole gumba!!! Ingawaje sina mapenzi na chama chochote including hiyo CDM but ningewashauri kwamba ktk suala hili CCM hawana cha kupoteza!! miongoni mwa madiwani 3 wakipata mmoja kwao ni bonge la ushindi lakini kwa CDM kupoteza japo mmoja ni bonge loss!
<br />Mkuu Nanyaro uko Arusha au Dodoma tumeelezwa leo kuna kikao cha kamati kuu na madiwani wote wameitwa Dodoma kama uko Dodoma una taarifa zozote.